Sijui nani kamuiga nani hapa

Wa nyuma kabisa ana hisia kali sana!
 
Samahani mkuu sijajua nguchiro wanafanya nini hapo
 
Hakuna anayemwiga mwenzake hapo. Wameumbwa hivyo,lakini hao wa kijani walitakiwa waache kufanana na hao wenye vichwa vilivyochongoka lakini kwa bahati mbaya wameshindwa.

Wameshindwa kila idara SHIEKA ngoja tunasubiri nyepesi nyepesi na nzito nzito za mapinduzi
 
Last edited by a moderator:
Wameigana maana ni wamoja hao. Naona Mariam Kisangi, Asumpta Mushana na Hawa Ghasia wakishangilia baada ya hotuba ya Prof. Tezi kuhusu escrow. CCM OYEEEEE!!!!!!!!!!!
 
Wameigana maana ni wamoja hao. Naona Mariam Kisangi, Asumpta Mushana na Hawa Ghasia wakishangilia baada ya hotuba ya Prof. Tezi kuhusu escrow. CCM OYEEEEE!!!!!!!!!!!

Shauri yako wazee wa kitengo angalia wasije malizia hayo meno yaliyobaki kaka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…