Kama ni kweli huo ni mtihani ,wewe huyo mchumba wako anakutega akuone msimamo wako upoje juu yake na ushingae ukienda huko utakuta wapo wote na mchumba wako na utakuwa umessha onesha udhaifu wa halii ya juu sana!!!!!!
Hii story wala haijanivutia.
ingekuwa enzi zile nikiwa mwanafunzi labda? Kwa nini hungeipeleka face book kwa wanafunzi?
mmhhh....
Kuna mkopo wa riba fasta 10% mashart ni nafuu ....ni PM
wewe yaelekea wamtaka sasa nenda ukutane na huyo mchumba wako ufumaniwe.....!
Aah we nisaidie tu bhana mambo ndio yameshakuwa
Upuuzi upi tena mkuu
Hivi vistory vya kutunga bana
Hii story ya uongo.
Porojo nyingi kama bunge la bajeti wachovu wanatafuta kiki ya kurudi tena mjengoni
Kwani bado uko hapo barabarani? Polisi wamepima ajali? Yaani mshaondoka eneo la tukio bado unawaza kulipa? Mwambie aite traffic waje wapime ajali, sasa sijui mtarudi eneo la tukio???! Hata hivyo hii ni hadithi, yaani ya kutunga kwaiyo kama ingekutokea kweli hayo yangefaa kuwa majibu
Tatizo hii script ukitengenezea movie haitatoka na part two, huwezi ongeza na scene kidogo za kwenda beach na super market hivi angalau ifike part 2?