Sijui mpoje?

Mbona Sisi wanawake hatuko hivyo? Kama namuungisha mtu nakuwa mteja tu Hadi pale nitakapoona sihitaji tena au nimepata mbadala.
Wanaume mnakwama sana nyie mtuungishe tu ila Mambo mengine myaweke pembeni.

#badonahitajifreezermsijikaushe
Kama wewe utakavyoona uhitaji kuwa mteja wake, basi na yeye anakuhama pale atakapoona ahitaji kuwa mteja wako. Hizo sababu naona umechomekea kama wewe ambavyo ungeweza kusingiziwa sababu kama hizo pale utakapohama
 
😁😁😁😁😁🦪Kmmk 🙌
 
🤣🤣🤣🤣 Kwamba unajirahisisha utaliwa kaenda kumwambia mume wako dahh jamaa jau sana 😄
 
Mtumishi kwenye ubora wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…