Hii hata mdada akienda na mkaka/mbaba mtahudumiwa kama vibakašš¾Yale yale ya kujenga mazoea na Barmaid..
Leo unakunyw zako frsh mnaanz kuzoeana.. kesho unakuja na Pisi yako anahudumia vibaya amekunja uso..
Same kwa Wadada wa saloon mie huw akinihudumia vzr naacha tip.. sasa siku ukienda na ukahudumiw na mwingine ambay na yeye yupo vzr ktk huduma ukaacha tip inakuw ni lawama tena..
Dunia haina jema..
Hii ilinikuta sana watu unawapa treatment yenye utu kumbe wao wanakuona mwepesi wa kutoa kipapa, wabongo tumezoea mabavu na ununda,Mimi ndiomaana sitakagi mazoea kabisa, tutaongea kibiashara tu maana mwanzo nilijifanya kuwa nawatreat mpaka mafundi kwa upendo tu sasa ikaanza kuleta mazoea mpaka bodaboda anakuja kukueleza jambo lake la kipumbavu tu! Nikaona isiwe tabu sikuhizi wana mipaka atakayekuja aje ambaye hawezi apite kushoto!
Na bado ukiwa kax wanakwambia utaolewa na nani sijui nini? Yani wabongo muda wote akili ipo kwenye sexuality tu! Hawawezi kuchangamana bila kuwaza ngono na ujingaujinga tu juu ya mwanamke!Hii ilinikuta sana watu unawapa treatment yenye utu kumbe wao wanakuona mwepesi wa kutoa kipapa, wabongo tumezoea mabavu na ununda,
Jamani,Kukupenda ni jambo la kipumbavu?Mimi ndiomaana sitakagi mazoea kabisa, tutaongea kibiashara tu maana mwanzo nilijifanya kuwa nawatreat mpaka mafundi kwa upendo tu sasa ikaanza kuleta mazoea mpaka bodaboda anakuja kukueleza jambo lake la kipumbavu tu! Nikaona isiwe tabu sikuhizi wana mipaka atakayekuja aje ambaye hawezi apite kushoto!
Wanaume wamejaza ungese mwingi kichwani, na sio boda tu wapo maboss wapuuzi vilevile, kuna meneja wa benki moja hapo posta, nilikuwa na shida zangu za kiharakati, sasa ktk kuzungumza nae akajipa matumaini kuwa niko mrahisi, alivyo mbwa akaenda kumpa hint Mr, kuwa niko polite sana nisiwe naenda huko bla bla kuwa nitaliwa, yani mavi mavi tu, mbuzi yule aliniharibia kazi zangu kwa mawazo yake ya kisengeeeNa bado ukiwa kax wanakwambia utaolewa na nani sijui nini? Yani wabongo muda wote akili ipo kwenye sexuality tu! Hawawezi kuchangamana bila kuwaza ngono na ujingaujinga tu juu ya mwanamke!
Sasa mtu akikufata kupitia mazoea ya kipumbavu unakuwa hujui?Jamani,Kukupenda ni jambo la kipumbavu?
Kuna wasenge sio wa kuchekea mimi huwa nawatakaga hao! Usipo wachekeachekea wanakutafutia namna, same applies to my boss,Wanaume wamejaza ungese mwingi kichwani, na sio boda tu wapo maboss wapuuzi vilevile, kuna meneja wa benki moja hapo posta, nilikuwa na shida zangu za kiharakati, sasa ktk kuzungumza nae akajipa matumaini kuwa niko mrahisi, alivyo mbwa akaenda kumpa hint Mr, kuwa niko polite sana nisiwe naenda huko bla bla kuwa nitaliwa, yani mavi mavi tu, mbuzi yule aliniharibia kazi zangu kwa mawazo yake ya kisengeee
Hawajui kuwa wapo wanawake wenye misimamo walio tayari kupoteza kila kitu kwa kulinda heshima ya uanamke wake, ukiwajibu vibaya wakufanyie figisu wajibu vizuri unaonekana mrahisi kuliwa,,,,, nya nya nya nyaaaKuna wasenge sio wa kuchekea mimi huwa nawatakaga hao! Usipo wachekeachekea wanakutafutia namna, same applies to my boss, waarabu kwa ngono na dharau anakaa kwenye screen yake anajichagulia mabinti tu kama humtaki anakufukiza kazi ukimkubali anakufanya mboga kila siku unakichezea ofisini kwake! Na office yake iko kama apartment kubwa kwahiyo hajali wala nini! Mimi nasema ipo siku watajichanganya nitawaachia historia!
Wanakera kweli hawa washamba kihisia!Hawajui kuwa wapo wanawake wenye misimamo walio tayari kupoteza kila kitu kwa kulinda heshima ya uanamke wake, ukiwajibu vibaya wakufanyie figisu wajibu vizuri unaonekana mrahisi kuliwa,,,,, nya nya nya nyaaa
š ahh mie siku hiz nikitok date huw naenda sehem za wastaarabu aisee candle lights na mziki fulan ambao hata speaker huzioni zilipo.. huko hakuna makasiriko.. hizi habari za kuagiz vinywaji unakaa lisaa, unakula umemaliza maji ya kunawa utasubiri mpk mikono igande kama ulikuw unakula ugali ndio utakoma.Hii hata mdada akienda na mkaka/mbaba mtahudumiwa kama vibakašš¾
Namimi nimeona bora nihamie sehemu zenye ustaarabu tu maana hizi local sitachelewesha mtu aisee! Madem ni wana makasiriko kama wamekopwa loh! Mara kibao tu huwa tunaamsha zetu tukikuta umaku unaendeleašš ahh mie siku hiz nikitok date huw naenda sehem za wastaarabu aisee candle lights na mziki fulan ambao hata speaker huzioni zilipo.. huko hakuna makasiriko.. hizi habari za kuagiz vinywaji unakaa lisaa, unakula umemaliza maji ya kunawa utasubiri mpk mikono igande kama ulikuw unakula ugali ndio utakoma.
Hata Dada wa Kazi akiwa na feelings na Mr ujue kbs umepata mpinzani ndani humo..Namimi nimeona bora nihamie sehemu zenye ustaarabu tu maana hizi local sitachelewesha mtu aisee! Madem ni wana makasiriko kama wamekopwa loh! Mara kibao tu huwa tunaamsha zetu tukikuta umaku unaendeleaš
Ntamtandika vibaya, kwanza siwezi kuishi na mtu ninaemlipa halafu ananipa stress!Hata Dada wa Kazi akiwa na feelings na Mr ujue kbs umepata mpinzani ndani humo..
Sasa bora hata hakuna mazoea mtu anakunja sura!Soo ishu ya makasiriko na Mazoea yanayoleta makasiriko haviepukiki..
Ukikataa haimaanishi hawapoKwa wanawake hapana nakataa
Nyoka toka Bustani ya Eden kapewa Mic ajizungumzie.Mbona Sisi wanawake hatuko hivyo?
Vijana hawaelewi formula hizo. Watu wazima wanapenda mtu asiye na haraka. Rough play sio vitu vyao. Ukiwa mtulivu unatunukiwa.Ulikata tamaa mapema sana,
Baada ya hilo tukio ungeendelea kua unatupa ndoano zako kistaarabu zaidi,
Bila shaka muda huu ungekua umeshajipatia huyo Samaki.