Sijui mpoje?

Siyo wote wanaohama kisa umewakataa kimapenzi wengine hushtuka ulikuwa unawatandika so wamepata chimbo la bei rahisi ndiyo maana huwaoni.

Kwanza kumtongoza mwanamke mjasiriamali ni kuhatarisha kipato cha mwanaume maana siku akiambiwa ajazie mtaji 800K anakuwa hana pa kuchomokea na ni kosa sitakaa nifanye.
 
Hahah ulihatarisha usalama wa kazi yako!
 
Ulikata tamaa mapema sana,
Baada ya hilo tukio ungeendelea kua unatupa ndoano zako kistaarabu zaidi,
Bila shaka muda huu ungekua umeshajipatia huyo Samaki.
 
Yale yale ya kujenga mazoea na Barmaid..

Leo unakunyw zako frsh mnaanz kuzoeana.. kesho unakuja na Pisi yako anahudumia vibaya amekunja uso..

Same kwa Wadada wa saloon mie huw akinihudumia vzr naacha tip.. sasa siku ukienda na ukahudumiw na mwingine ambay na yeye yupo vzr ktk huduma ukaacha tip inakuw ni lawama tena..

Dunia haina jema..
 
Naona ulianza kuchezea kazi na si mshahara.
 
😂😂😂
Nahisi ulikoma mwana mtoka pabaya 🤣🤣
 
Karibu kwenye ulimwengu wa kiume…

You have to master a lot to navigate in a male dominated world ….. Utaadhibiwa kwa makosa ambayo umefanya na ambayo haujafanya.

Push through regardless.
Asee huu ni ukweli kabisa.
Na wengine wanatamka live kabisa "hapa ili utoboe kiachie" Na usipokiachia wala hawana muda na bidhaa yako...
Wanaume ni viumbe katili sana
 
Hili nalo neno
Sasa mkuu ukihama sababu ya let say bei ndio unanuna kabisa?
 
Ni tabia za baadhi ya watu tu hata wanawake mpo hivyo...
Kwa wanawake hapana naka
🤣🤣🤣
Hivi kumbe na nyie yanawakuta... Basi usimzoee yeyote
 
Acha uoga!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…