Sijui maisha ni bahati?

Huo mshahara tunapigwa kamba !!!tena kwa udereva ?? Tena si wa NIT wala VETA? Hahaaa hapa kuna mtu anatafutwa aokotwe ili ugumu huu wa maisha usiomekane kuna mtu aliye juu ana usababisha.
Then utalipwa 913000 ila usisahau kuwa mkarimu kwa watu babu
 
Hongera sana mkuu... For real nimekuelewa..ubarikiwe sana
 
huna akili ndo maana huoni tofauti yeyote na athari za mabadiliko ya kiuchumi katika maisha yako.

Unakosea sana kiongozi... Binafsi nimemuelewa sana.. Ningeweza kusimulia mengine kwa upande wangu lkn acha nitasimulia wakt mwingine.

Hivi hivi mnavyosema vyuma vimekaza sisi tunakula kiulaini kabisa tena pesa za serikali hizo hizo.. Mpango mzima ni kupiga kazi, show them that you can
 

Huwezi kuwaza kugundua roboti elihali hujui unakula nini usiku.. Kwa hatua yake na hustling yake kajitahidi sana.. Tena kwa taarifa yako huenda kuna mtu anapokea salary ya 2.5m per month lakini still hawezi miliki biashara kama ya jamaa kwasasa...life is all about planning
 
Huo mshahara tunapigwa kamba !!!tena kwa udereva ?? Tena si wa NIT wala VETA? Hahaaa hapa kuna mtu anatafutwa aokotwe ili ugumu huu wa maisha usiomekane kuna mtu aliye juu ana usababisha.
Mimi nimeishiwa pozi tuu hapa[emoji19] [emoji19] si mshahara w daktari huo kabisa, yaani ukarimu tu ndo akalipwe hivyo?? Thubutuu
 
hadithi yako nzuri inavutia ,inafundisha,inaonya,inafikirisha

asante
 
basi kama mnakula hela za serikali kwa wakati huu mtakuwa wezi na mafisadi nyie.maana magufuli mwenyewe anakiri hela hazipo na hazitakuwepo kwa kuwa amebana mianya yote .sijui nyie wenzetu mnazipata wapi hizo mnazokula kiulaini.
 
huna ujualo.endelea kula hizo pesa za serikali
 
Kulalamika sio issue ila tuchape kazi kwa kujiamini. Hongera sana ni somo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…