Sijui lengo lake nini

Hakuna haja y kwenda,kawaida yy ndio anatakiwa aende nyumbani kumuona mtoto. Hiyo ya kumpelekea mtoto ni dharau kubwa na ndio itakuwa sbb ya kukusimangia kwamba ndio maana ulijileta.
 

anataka kuzibua masikio na macho ya mtoto ili amtambue baba yake teh teh
 
Dah kumbe tapeli lingine.. Halafu usikute ni dume.. Maninaaa..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ama kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Yaleyale ya Miss TZ 2014.
 
Last edited by a moderator:
huyu si ndio alisema anaenda kigoma kumroga jamaa yake?
 

aisee. umetuweka sawa sasa. kumbe kazushi tu hakana jipya.
 
Last edited by a moderator:
neema pita na Anna pita siyo mtu yuleyule kweli?
Amepewa makavu kanyweaa sijui kama atarudia kutoa maada
 
Last edited by a moderator:
very nice, wacha upate tabu maana umebeba mimba bila kuolewa.
alfuushauri bure, miilize mamyako
 
Inawezekana ile ya div four point 30 ndo ya kweli zingine uongo kanafikiri division yake humu itapenya, MO 11 bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…