Sijui kwanini naogopa sana nyoka

Sijui kwanini naogopa sana nyoka

Labda "anang'atwa" kila mara hapati muda wa kupumzika, si umeona kuna sehemu amesema tangia ameenda huko alipo anakutana tu na "nyoka" hadi imefikia mahali usiku anaota majoka majoka tuu! hahahahahahahahahaha
Huu ndiyo ujuha haswa


hata bibi alikuwa binti.
 
Katika wanyama wote nawapenda nyoka
Naanza mchakato wa kufungua zoo ya nyoka tu
Aina zote maana kwa Tanzania tu wapo zaidi ya aina 300
Hata huyu utaogopa kumshika
1ff52ca177e993e17fc8918de709b5cb.jpg
 
Habari zenu wadau/washikadau
Kuna huyu mdudu anaitwa nyoka nikimuona huwa nashituka kama nadondoka kwa shimo la futi mia. Awe mdogo Mkubwa mkali ama hawa wanaoitwa kibisa yani nashituka vibaya. Naweza kushambulia ingawaje kwa ujasiri mdogo sana, sasa toka juzi nimefika hapa Gomba kila siku lazima nikutane na joka yani utafikiri wanajua nawaogopa. Kwa hofu niliyonayo kwa nyoka nahisi ntapata bp aisee, kwa sababu kutoka hapa ni baadae sana kila nikikaa alone zinakuja mapicha majoka..nimechoka manzee
Ukiona ivo ujue wewe ndani yako kuna ROHO nyingine, tuseme UNA MAPEPO.
pepo wakiwa ndani ya MTU pia humfanya kuwa mwoga kupindukia. Watafute watu waliokoka wakusaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom