Sijui ku attach picha kwenye post kwa SIMU. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ku attach picha kwenye post kwa SIMU.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mkayala, Aug 4, 2012.

 1. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naomben msaada,nikisha andika,nikibonyeza attachment,nikichagua file zina upload BAADA YA HAPO NASHINDWA KURUD KWENYE POST YANGU
   
 2. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Huna akili
   
 3. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  dah... Unaongea ukwel ww
   
 4. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wabongo malimbuken huwa ndio mlivyo,kwa hiyo kuuliza ni ujinga?Kwanza unaonekana kilaza kama jina lako,wewe mwenyewe hujui,UNGEKUA UNAJUA UNGEJIBU KENGE MAJI WEWE!
   
 5. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ungekua na akili ungetoa jibu,ina maana HAMNAZO.
   
 6. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  duh... Nmechokoza nyuki... 4 give kaka,,
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  Unatumia opera mini au any 3rd party browser?
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chomeka picha kabla ya kuweka betri then weka betri ukiwasha simu picha itadownload tu
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wakuu naomba basi heshima iwepo katika jukwaa hili na Tech and Gadget maana post zote hapo juu zinaonyesha jinsi tulivyokosa hekima
   
 10. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  hili jukwaa la Majungu na vijembe
   
 11. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  this is not fair guyz!
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole kaka

  Kwa kukusadia ukishaattached kuna button unasema "upload" bonyeza hiyo then picha itaonekana
   
 13. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  operamin mkuu
   
 14. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nafika had hapo na picha zinaonekana,sasa kurud kule ili ni submit post ndio inakua ishu,kuna sehem imeandikwa CLOSE THIS WINDOW lakin ukifunga hairud kwenye post
   
 15. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Nikisema huna akili watu,mapovu yanawatoka.yani hadi unafika afu huwezi.aaaahh lugha gongana
   
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  Ni tatizo la operamini mkuu inamisi vitu mfano ni hii auto direct ukiclose haikudirect kwenye page ulokuepo mwanzo mi pia naface same problem kama wewe.

  Jaribu kutumia built in browser ilokuja na simu
   
 17. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante sana mkuu,hapo juu niliambiwa sina akili kumbe anaetukana hajui hata tunaongelea nini!
   
 18. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe bila shaka utakua ni TAAHIRA,angalia wataalam wametoa jibu nao linawasumbua pia,INGIA JAHAZ UKAJIUNGE KUIMBA TAARAB,LAKIN HAPA HAPAKUFAI.
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Labda nikusaidie unatumia simu ya aina gani?
  kwenye simu za Blackberry kuna kitufe cha return, baada ya ku-Download picha una-Close km kawaida halafu tafuta buttom yoyote ambayo itakurudisha kwenye diplay yako ya awali halafu una-Send baada ya sekunde page yako itarudi na picha halisi uliyoituma.
  usifikiri wakati unaweka attachment itajionyesha picha ila ni no. na aina ya picha km ni GIF, au BMP au jpg na symbol ya attach ni mpaka uitume halafu itakuja kuonyesha kuwa hata wenzako wataona hivyo km haifai tafuta neno delete msg na sahihisha tena
  hebu jaribu kwa hiyo simu yako hata km ni ya mchina kupitia Operamini
   
 20. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nokia 2330 c,nafkir tatizo itakua opera,coz baada ya ku attach kuna kitufe cha "close this windom" ukibonyeza hai respond unabak pale pale,ASANTE MKUU KWA USHAURI!
   
Loading...