Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

So wmaansha kuwa now yawezkn akawa mwema tena.?....yawezkana asiniache??

Kila bnadam ana turning point yake..!!kil mtu ana wakat wake wa kuamka

Maybe her out of my life....is my wake up call
Kuna ambao hawaamki hadi yamfike kama wewe hivi, si unaona baada ya kuachwa ndio uliamka. Hivyo ilipaswa akuache ili akili ikukae vizuri,ujifunze na ukue then ndio arudi. Yawezekana ule haukuwa muda mzuri kwako kuwa ktk mahusiano nae ila sasa.
 
Am not trying to say kuwa nilikuwa sijishughulishi....nlfungua almost biashara 3

Zote zilifail....na mostly n kwakuwa nilijitolea kwake...!!she was studying...!!i gave her money for every needs alohitaji boarding...!!

So nilikuwa nahangaika na biashara yngu changa huku nkmsaidia yeye...!!na hapo kumbuka bdo visa vipo

Likizo za wiki alibaki huko kwao....sikuwasiliana nae siku 3 kwa kisngizio simu ilianguka chini ya kitanda alikuwa anaitafuta

Vipi nmrudishe??
 
Ndio maana nmetumia neno wengi wao na sio wote kwa sababu najua sio wote wapo hvyo dada mkuu
Unaposema "wengi" ilihali makapuku wengi ndio wanaooa kila siku unawazungumzia wanawake gani? Waliofanikiwa pia walioa wakiwa apeche alolo tu wake zao wakawavumilia hadi wametusua.
Yaani wewe kujaza vitu kwenye single room unaona tayari umetusua?
Khantwe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mmmmmh!! Mkuu sio kuwa unaongezea kwa kuvuta kamba upande wako?

Anyway if thats the case basi mute tu, una haki.
 
Ngojea niulize maybe n kwakuwa nilikuw romantic au nilikuwa nakosea

Amepata likizo...anakuja dsm!!amefika dsm usiku....nkamwambia nakuja kukupokea stendi na kama ingkuwa usiku sana nngtafuta hata hotel o lodge tulale then asubuh o mchana aende kwao

Akanambia kuwa alikuw anantania bdo hajafika

Then baada ya kama wiki nlipokuja kmuuliza anasema alilala kwenye basi mpaka asubuh...!!

Wew ungfikiria nn??

Kuna mengi saana nmeyaacha
 
Ndio maana nmetumia neno wengi wao na sio wote kwa sababu najua sio wote wapo hvyo dada mkuu Khantwe [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo wengi ndio ninaishangaa maana hao hao wengi ndio waloolewa na hawa hawa unaosema masikini.
 
Kabla hamjaachana?
Nap...abou a month baada ya kuachana...!!nkawa nawasiliana nae...!!but kejeli na dharau nd zlnfanya nkate mawasiliano

Am sure kuwa waweza kudhan nafanya kwa makusudi ila kila conversation nlosema ngjea nmckilize labd ana deal nono...

Turned out to be a mistake....mistake am not intended to repeat
 
Basi sawa, kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…