Sijui kinachomfanya aendelee kutuma text

Tafuta pesa acha ujinga!nani kakuambia vitu vya ndani ni utajiri!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu si unatafuta tu ambaye atakutunuku bila kuhitaji pesa zako ya nini ukahangaike na wanaohitaji pesa kama una hela ya chapati kula tu chapati usilazimishe kula pizza
Kuna makwini wanavutia mkuu yaani acha

wapi luckyline
 
Story yako imefanana na mimi ila mimi nligharamika zaidi. Nlizaa nae, nikamlipia mahari, nikasomesha diploma.... Nlitumia kama 4M.
Nilikua nae kwa miaka kama 7 ila alipoona mambo yangu hayanyooki baada ya mzee baba kuingia madarakani na ajira kukwama ndo vile akawapa nafasi wenye magari yao ambao hawakumsaidia kifedha ila starehe tu.

Saivi haishi kutuma sms za kujifanya ananipenda na hatanisahau nk.
 
Amini kwamba, sahivi waoaji wanapatikana kwa zali sana maisha tyt hela ngumu. Sema tuendelee kujiboresha tu waliiona hatufai watapata mafunzo.
Hahahaaa n kweli...!!hakuna feeling tam kama mtu kujua kuwa unaendelea na maisha bila ya yeye kuwepo
 
Hapo wana waliokuja na sera ya ndoa waliku chanyata kinoma kwa mda mfupi mfupi. Hivi kuna tatizo gani hapo age 23-25 mbona wanawake ni kama wote wanawehukaga
Ndo age ambayo wengi huolewa....ikipita hapo mwanamke anakuwa chiz....!!mbwamwitu nd hufaidi
 
Ndio muache viranga, huna shughuli ya kufanya hisia unatoa wapi?
Kwani genye zinahusiana na shughuli za mtu. Kama ingekuwa hivyo Mzee mengi angekuwa hana watoto. Hisia zipo tu 😂😂😂 ndio maana hata ww unakataga mauno kwa umpendae
 
Hahaha boya huyo, mwambie unafurahia sana upendo wake na aendelee na moyo huo huo! Pumbav na nusu 😂
 
Ndo age ambayo wengi huolewa....ikipita hapo mwanamke anakuwa chiz....!!mbwamwitu nd hufaidi
Ila naona past 25 akili ya mwanamke ndio inakuwa imetulia. Kama mtu hupendi drama tafta manzi mwenye age ya 25 ama zaidi
 
Ha
Hata sisi maskini tunahitaji kubembea mkuu
hahahah tatizo la wamama humu jeiefu ni kukandia tu vijana makapuku...utadhani wao hawastahili kupendwa ila at the same time hao wamama wanatoa penzi kwa mikopo
 
Hahaha boya huyo, mwambie unafurahia sana upendo wake na aendelee na moyo huo huo! Pumbav na nusu [emoji23]
Maisha yanabadilika sana, wanakimbilia wasipopajua na mwishowe hujutia.

Kuna dada alipapatikia jamaa mwenye gari, anaipata kweli maana jamaa mashine inafanya kazi kwa kama dakika tano, ikizimika yeye hajatosheka anasubiri baada ya siku tatu ndo inawaka tena kwa dakika tano. Asubuhi haifanyi kazi kabisa.

Anapata majuto maana jamaa ana gubu balaa na anamlinda kupindukia.
 
Hahahahah being desperate always leads to wrong choices ila madhara yake huonekana baadae! Watu wa namna hio ndio hufanya ndoa kuwa ngumu na kuonekana vijana hatusathili kuoa sikuhizi. Hapo mwisho wa hio ndoa ni kufa kibudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…