Sijui kilitokea nini hapa!!!

Siku zidane alipogeuka kondoo kwa kumpa bichwa la kifua michael matelazi. Fainali za kombe la dunia nchini Ujerumani 2006
 
Hiki ndo kitu John Bocco alitakiwa kumfanyia Nyosso
 
Zidane ana hasira, nadhani sasa kawa mtu mzima. Hiyo haikuwa mara ya kwanza kwa Zidane kupewa red card kwa kumdunda mtu. Fuatilia alipokuwa Ligue 1 & Serie A.

Alichofanya Marco Materazzi ni kumprovoke kwa makusudi, kwa sababu aliijua temper ya Zidane. And it worked, French wakawa reduced to 10 men & Italy went on to lift the 2006 WORLD CUP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…