J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Sep 23, 2013 #41 amu said: Naunga mkono hoja.Jamani tutulizane Click to expand... Naunga mkono hoja, kwa mke na mme lakini.
amu said: Naunga mkono hoja.Jamani tutulizane Click to expand... Naunga mkono hoja, kwa mke na mme lakini.
V veronica mihenga Senior Member Joined Apr 4, 2013 Posts 174 Reaction score 43 Sep 23, 2013 #42 Caroline Danzi said: Ngono nzembe! Click to expand... tehtehteh,eti 'nzembe'nmependa ilo neno,napita tu.
Caroline Danzi said: Ngono nzembe! Click to expand... tehtehteh,eti 'nzembe'nmependa ilo neno,napita tu.
C Cynthia Chriss JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 478 Reaction score 241 Sep 23, 2013 #43 PLL said: Kauli hiyo mbaya na chafu hutolewa pale mdada anaevutia tena ukute ana zile supporting documents ,akipita anakutana na hlo neno of whch si zuri,yaani wanaume wengi wanatamaa kweli af wanafamilia zao nyumbani. Click to expand... hahhaah watu mna maneno!eti "supporting documents" hahhah asante kwa msamiati mpya. ila hii kauli huwa inanikeraa sana
PLL said: Kauli hiyo mbaya na chafu hutolewa pale mdada anaevutia tena ukute ana zile supporting documents ,akipita anakutana na hlo neno of whch si zuri,yaani wanaume wengi wanatamaa kweli af wanafamilia zao nyumbani. Click to expand... hahhaah watu mna maneno!eti "supporting documents" hahhah asante kwa msamiati mpya. ila hii kauli huwa inanikeraa sana
1 10Shoka14 JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 305 Reaction score 122 Sep 23, 2013 Thread starter #44 veronica mihenga said: tehtehteh,eti 'nzembe'nmependa ilo neno,napita tu. Click to expand... Kwani liko mbadala?Binafsi pia nalifahamu hilo*2.
veronica mihenga said: tehtehteh,eti 'nzembe'nmependa ilo neno,napita tu. Click to expand... Kwani liko mbadala?Binafsi pia nalifahamu hilo*2.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Sep 24, 2013 #45 10shoka14 said: best we unamiaka mingapi kwenye institution ya marriage? Click to expand... bado nipo nipo sana!!!!!!!!!
10shoka14 said: best we unamiaka mingapi kwenye institution ya marriage? Click to expand... bado nipo nipo sana!!!!!!!!!
F fered JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 224 Reaction score 41 Sep 24, 2013 #46 umenena vyema
luginyo JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,385 Reaction score 638 Sep 24, 2013 #47 usiwalaumu hao vijana sana ndani ya miili yao yapo mapepo ya ngono
K Khakhi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 848 Reaction score 213 Sep 24, 2013 #48 kill said: ujumbe mzuri wanawake wazuri bila pesa utaishia kuwaita shemeji tuu. Click to expand... Hivi kumbeeeee?
kill said: ujumbe mzuri wanawake wazuri bila pesa utaishia kuwaita shemeji tuu. Click to expand... Hivi kumbeeeee?