Wewe bado haujachakaa?
mmh mi ni kama sijaelewa vileeee
Yaan hata sina dalili za kuchakaa yani mwanaume mmoja tu miaka nenda rudi ntaanzaje kuchakaa?matunzo ya kutosha
Huipendi kazi yako....Mzigo wa boss huo....."jamani wakubwa wanafaidi"
Kauli hiyo mbaya na chafu hutolewa pale mdada anaevutia tena ukute ana zile supporting documents ,akipita anakutana na hlo neno of whch si zuri,yaani wanaume wengi wanatamaa kweli af wanafamilia zao nyumbani.
huko ndo wabongo tumewekeza zaidi. utakuta binti anamtako huuuo,halafu anapita anakutingishia unategemea nini hivi "atapona mtu jaman"
huyo mwanaume amekuoa au ndo miaka nenda rudi nyie zenu ni niangusage!!!!!
Kibwagizo kingine cha kudhalilisha utasikia "jamani wakubwa wanafaidi"
Ndoa december this year karibuuuuu
asante Muke ya Muzungu ntatia timu
Hii ni kauli ya vijana wengi mno marafiki zangu.Vijana wakiume imekuwa kama mtindo kila akionwa binti mrembo,watu ni miguno tu mmmmmh!Halafu wanamalizia na kibwagizo" Sijui kama tutapona".
Kwakweli mi huwa ninawapa za uso na kuwaeleza hivi hicho kinachowafikisha mahali na kutoa hiyo kauli hakijakaa vizuri,tamaa zilizopiotiliza kama za mnyama/ndege hazifai kwa mwanadamu.Kwakuwa hata ukajifanya unakifua fanya unavyoweza na watu hawa mwisho wasiku jiulize unapata nini zaidi ya kujichosha na kujijaza stress.
Haya maisha ya mapenzi yananoga ukiwa mtulivu Adamu na Eva wako,Eva na Adamu wako.Kuwa huru kwa kutoanzisha mahusiano mapya ndani ya mahusiano unakosa uhuru ikiita simu lazima uwaze ya kuwaza kama uko na mwenza wako karibu yani kwa kifupi unakuwa mtumwa.
Kazi ya kuhudumiana kwanza si ya kitoto,labda kama kila mtu anacheki mahitaji yake binafsi wa ukishamaliza hujali upande wa pili vipi lakini kiuhalisia kama unatimiza kazi yako vizuri hii huduma ni vizuri kuibinafsisha kwa mmoja tu at a time.Kama itatokea labda mahusiano yakavunjika basi hama lkn mmoja at a time ni mpango mzuri na wakistaarabu na utakuta unafurahia zaidi mahusiano uliyonayo.
Tumepewa akili na utashi tuvitumie vizuri maisha ya kesho na kesho kutwa yanategemea sana misimamo na matendo yetu ya leo.Nawasilisha
"sijui kama tutapona" ni kauli ya wafu (ROHONI). Ulivyofafanua nimependa lakini imaanishe 1 WIFE 1 HUSBAND-kuna uponyaji mkuu...wengine wote kwa namna yoyote haiwezi kusumbua labda kama ni mfu (ROHONI)
Ngono nzembe!
Kwa wanaume Kupenda ni tofaut sana na kutaman,.. I hope siku moja wanawake watuelewe kwa hilo... Hata kama nampenda msichana wangu 100% bado nitataman... And kutaman sio kwamba nampenda zaid ya niliyenaye...
huyo mwanaume amekuoa au ndo miaka nenda rudi nyie zenu ni niangusage!!!!!
huko ndo wabongo tumewekeza zaidi. utakuta binti anamtako huuuo,halafu anapita anakutingishia unategemea nini hivi "atapona mtu jaman"
Imefanyaje ndg funguka kama unaweza.