Kibwagizo kingine cha kudhalilisha utasikia "jamani wakubwa wanafaidi"
Tatizo ni sisi au nyie wawindaji?
duh hongera unajua unaweza kuwa mtuzi wa vitabu hebu jaribu kuandika kitabu
tatizo hamridhik jaman.jaribu kuridhika na ulichonacho utafaidije!
10shoka14 - swadakta nasihi yako.
mmh mi ni kama sijaelewa vileeee
Kweli aisee na hichi kibwagizo kinaniboaga sana..sema nakuaga tu sina uwezo wa kupga mtu ngumiKibwagizo kingine cha kudhalilisha utasikia "jamani wakubwa wanafaidi"
Hapa kwenye kuchakaa nakubaliana na wewe hasa kwa sisi madada,utakuta mdada alikua mzuri kweli ila akisharuhusu kila aina na mtalimbo uingie kwake baada ya muda mchache utaona vile amekua jamani,yan anakua kachoka yan hata havutii tena...Ndo mwito wangu kuwa ktk uhusiano mmoja ktk wakati husika.Na unapokuwa mwaminifu kwa mwenzi wako unafaidi vya kutosha.Hivi vitu ni kwa mara chache tu ukifanya nongwa unachakaa kila sekta.
kama unaweza fafanua kidogo,nini kinatokea mpaka kauli hiyo inawatoka?Asante
Hapa kwenye kuchakaa nakubaliana na wewe hasa kwa sisi madada,utakuta mdada alikua mzuri kweli ila akisharuhusu kila aina na mtalimbo uingie kwake baada ya muda mchache utaona vile amekua jamani,yan anakua kachoka yan hata havutii tena...
Nimewaona wengi japo sijuagi mechanism yake