NItafuteNaogopa sana kupata ugonjwa wa ukimwi,nazidi kumwomba mola anilinde na hilo jinamizi.Sasa nataka kufanya maamuzi magumu ya kuvuta jiko lilotulia lenye sifa zote za kitanzania na pia mwenye vinasaba vyote vya kibantu kuanzia mlima kilimanjaro kwa kina mangi sina mpaka nyasa,pia kuanzia ukanda wa pwani wa mashariki mpaka ukanda wa tanganyika kuelekea pande zile za watoto wa wanamalundi.
Binti mwenye sifa hizo ana-PM
Ngoja nikucheck kupitia PMNItafute
Ameambiwa na mama'akeWe umejuaje kuwa umetuliaa
KamsingiziaAmeambiwa na mama'ake
[emoji87] [emoji87]
Ukiamua kuoa, 50% ya uwezekano wa kupata UKIMWI unampa mwenzio..Naogopa sana kupata ugonjwa wa ukimwi,nazidi kumwomba mola anilinde na hilo jinamizi.Sasa nataka kufanya maamuzi magumu ya kuvuta jiko lilotulia lenye sifa zote za kitanzania na pia mwenye vinasaba vyote vya kibantu kuanzia mlima kilimanjaro kwa kina mangi sina mpaka nyasa,pia kuanzia ukanda wa pwani wa mashariki mpaka ukanda wa tanganyika kuelekea pande zile za watoto wa wanamalundi.
Binti mwenye sifa hizo ana-PM
ANGAZA itathibitisha haya yote kwa yule atakayejitokeza.Fisi kavaa ngozi ya kondooo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Ameambiwa na mama'ake
[emoji87] [emoji87]
Facthahaaa watu tumetulia hadi shetani anakimbia tatizo mwanaume mpole hana maendeleo
Umenishinda tabia khaah!hahaaa watu tumetulia hadi shetani anakimbia tatizo mwanaume mpole hana maendeleo
Wamekaa kinyongee..hahaaa watu tumetulia hadi shetani anakimbia tatizo mwanaume mpole hana maendeleo
Chukua mchumaa huooHiv upo serious kweli? au unatania