Sijui kama nilikosea kwa kufikia conclusion hii

Sijui kama nilikosea kwa kufikia conclusion hii

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,202
Reaction score
162,763
Leo nitarudia maneno haya niliyowahi kuyasema lakini kwa lugha ya Kiingereza kwasababu kuna speech imenifanya nione umuhimu wa kuyarudia na sijui kama nilikosea, na katika hili, ninawaachia wenzangu mtoe judgement au maoni yenu kama nilikosea au laa.

"Moja ya tatizo kubwa miongoni mwa matatizo mengi ya nchi ya Bongo, ni watu smart na intelligent kuwa na majukwaa tu ya kutolea maoni na mawazo yao pasipokuwa na mamlaka ya kuyatekeleza, wakati huo huo, watu less smart na less intelligent, wanakuwa na majukwaa ya kutoa maoni na mawazo yao pamoja na kuwa na mamlaka na madaraka ya kutekeleza mawazo yao hata pale ambapo mawazo na maoni hayo ya si tu kwamba yanakuwa si sahihi,bali pia mawazo hayo yanakuwa si ya kutarajiwa (unexpected/unfortunate )".
 
Leo nitarudia maneno haya niliyowahi kuyasema lakini kwa lugha ya kingereza kwasababu kuna speech imenifanya nione umuhimu wa kuyarudia na sijui kama nilikosea na katika hili, ninawaachia wenzangu mtoe judgement au maoni yenu kama nilikosea au laa.

"Moja ya tatizo kubwa miongoni mwa matatizo mengi ya nchi ya Bongo,ni watu smart na intelligent kuwa na majuwa tu tu ya kutolea maoni na mawazo yao pasipokuwa na mamlaka ya kuyatekeleza,wakati watu ambao ni less smart na less intelligent ndio wenye mamlaka na madaraka ya kutekeleza mawazo na maoni yao hata pale ambapo mawazo na maoni ya si tu kwamba hayako sahihi.bali pia mawazo hayo huwa si ya kutarajiwa(unexpected )".
Kama mjinga mmoja anaropoka eti "mkoani kwangu mazishi yoyote hayatahusisha watu zaidi ya kumi"
 
Kama mjinga mmoja anaropoka eti "mkoani kwangu mazishi yoyote hayatahusisha watu zaidi ya kumi"
Lakini pia aina ya viongozi hu-reflect aina ya watu wanaowaongoza.

Mtu mpaka leo anasubiri kuambiwa na kiongozi wa dini au serikali asiende kwenye nyumba ya ibada au apigwe marufuku kwenda bar au kusafiri.
 
Leo nitarudia maneno haya niliyowahi kuyasema lakini kwa lugha ya kingereza kwasababu kuna speech imenifanya nione umuhimu wa kuyarudia na sijui kama nilikosea, na katika hili, ninawaachia wenzangu mtoe judgement au maoni yenu kama nilikosea au laa.

"Moja ya tatizo kubwa miongoni mwa matatizo mengi ya nchi ya Bongo,ni watu smart na intelligent kuwa na majukwaa tu ya kutolea maoni na mawazo yao pasipokuwa na mamlaka ya kuyatekeleza,wakati watu ambao ni less smart na less intelligent,wanakuwa na both, majukwa ya kutoa maoni na mawazo yao pamoja na mamlaka na madaraka ya kutekeleza mawazo na maoni yao hata pale ambapo mawazo na maoni hayo ya si tu kwamba yanakuwa si sahihi,bali pia mawazo hayo yanakuwa si ya kutarajiwa(unexpected )".

Tanzania ni Nchi pekee ambayo Critics hasa wa Masuala ya Siasa, Utawala na Demokrasia wanaonekana kama ni Magaidi vile.
 
Lakini pia aina ya viongozi hu-reflect aina ya watu wanaowaongoza.

Mtu mpaka leo anasubiri kuambiwa na kiongozi wa dini au serikali asiende kwenye nyumba ya ibada au apigwe marufuku kwenda bar au kusafiri.
Aaaah..waafrika tushazoea kulaumu serikali na viongozi wetu kwa kila matatizo yetu,sasa wewe tena unatuambia viongozi wetu ni reflection ya sie wanaotuongoza! kwahiyo viongozi wa ccm hu-reflect watanzania tulivyo?
 
Leo nitarudia maneno haya niliyowahi kuyasema lakini kwa lugha ya Kiingereza kwasababu kuna speech imenifanya nione umuhimu wa kuyarudia na sijui kama nilikosea, na katika hili, ninawaachia wenzangu mtoe judgement au maoni yenu kama nilikosea au laa.

"Moja ya tatizo kubwa miongoni mwa matatizo mengi ya nchi ya Bongo, ni watu smart na intelligent kuwa na majukwaa tu ya kutolea maoni na mawazo yao pasipokuwa na mamlaka ya kuyatekeleza, wakati watu ambao ni less smart na less intelligent, wanakuwa na both, majukwaa ya kutoa maoni na mawazo yao pamoja na mamlaka na madaraka ya kutekeleza mawazo na maoni yao hata pale ambapo mawazo na maoni hayo ya si tu kwamba yanakuwa si sahihi,b ali pia mawazo hayo yanakuwa si ya kutarajiwa (unexpected/unfortunate )".
Ni kweli sana ma-genius huwa wanaogopwa na hawapewi nafasi na pia wenye akili sana huwa pia ni wastaarabu mno hivyo kuonekana kama waoga. Nchi zilizoendelea zinajua siri hii na zinawatumia ma-genius wao vizuri. Hapa bongo usipokuwa kama kasuku unaonekana mjinga. Hivyo tunao “wajanja “ wengi lakini vichwa maji na hawa ndio wanaoongoza nchi. Sad.
 
Back
Top Bottom