sijui kama ndoa hii itaendelea!

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
mume alirudi nyumbani ghafla akakuta mkewwe amelala na kijana mmoja kitandani kwake ,akamuuliza mambo gani haya mke wng

mke akajib;huyu kijana nimemkuta sokoni anaomba chakula nikamleta nyumbani nikampa kile ulichokua umebakiza asubuhi hakua na viatu nikaona nimpatie vile ambavyo ulikua huvaagi tena nguo zilikua zimechanika nikampa ile suti ambayo inakubana wakati anaondoka akaniuliza hakuna kitu ingine ambayo mmeo ako hatumii ndo nimekuja nae chumbani nikampa TIGO we mme wangu si hautumii si eti dear!
 
Ndo hivyo tena, kile ambacho baba hatumii ndo jamaa anatumia. Mama ana line mbili, Voda na Tigo ila baba yeye anapenda voda, hiyo ingine si itafungwa!!!:laugh::laugh::laugh::laugh: wacha atumie hiyo laini na wengine jamani! Tigo express yourself!:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom