Sijui kama hii tabia ni nzuri au mbaya.

Sijui kama hii tabia ni nzuri au mbaya.

Mambo ya west na ww uko east wayatakia nn.
 
Angalia YOU (2019)- ina episode 10 moto kabisa
Dah mm nilichek series inaitwa pretty little liars
Aisee HUKO watu kupendana haichukui sekunde
 
Ongelea hit movie
Embu acheni ujinga, kwa hiyo sinema kwako ndiyo kielelezo cha maisha ya watu halisi?ina maana wanawake wetu wanakoroga sumu kwanza na kuonja kabla hawajawawekea waume zao? au majambazi yetu yanavua viatu kabla ya kuingia kwenye nyumba za watu? mnatuchosha tu na kushindwa kwenu kufikiri vizuri
 
Sisi bado tunalove za kimsitumsitu, wao ni wakweli mtu kusema uongo ni nadra sana, akisema uongo na ikajulikana anahisi jamii nzima itamtenga.
 
Hahahaaaa, kimsitumsitu!!!
Sisi bado tunalove za kimsitumsitu, wao ni wakweli mtu kusema uongo ni nadra sana, akisema uongo na ikajulikana anahisi jamii nzima itamtenga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa west hio ni kawaida sana..kama mtu anakupenda anakwambia na response hua ni hapo hapo yaani nimekupenda pia au no Nina mtu mwingine na watu hua waelewa...sasa huku mtu akisema no anamaanusha yes ili akufanye chuma ulete kwanza yaan umasikini pia ni tatizo
Ha ha ha ha ha ha
 
Si unaona hata Jiwe anavyoyuzungusha kwenye maslahi ya wafanyakazi yaan ndo hivyo yaan
 
Huku ni wasichana wa mikoani tu...

Huku dar ukiwa muongeji mzuri halafu upo kitengo Kama Bank au TRA unatunukiwa sikuhizi...ingawa sio wote ila wapo wa siku na wapo wa within a week..

Tatizo ujue unaongea Nini na kwa wakati gani
 
Iyo ni kawaida sana kwao[emoji205] kama asipo kupa leo then akakupa kesho tofaut nin???? Huwa wanajua kuna point wanapata kumbe hakuna lolote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii inchi nilipo mimi nilikuwa na kawaida ya kupita supermarket moja kununu bidhaa, kwa mwezi labda ninapita mara 2 ama 3 hivi, kuna muda nakuwa nawasindikiza washkaji zangu, kuna mdada mmoja wa kinajeria kila nikifika pale ananipigia jicho si la kawaida na hatohudumia wateja hujifanya kuzuga zuga mpaka ahakikishe nimetoweka kwenye duka hilo. siku tukaonana face to face maana yeye alikuwa anahudumia kwenye dawati la cosmetics.... aisee alipata shida sana pressure ilimpanda mnooo ila mwisho akaniambia I have a crush on you, I love you soo much. kisha kwa kasi ya ajabu akapotea eneo hilo, ni kweli wa west huwa hawafichi hisia zao. Kwa bongo labda gigi money tu, maana Rafiki yangu mmoja aliwahi kutongozwa na gigi money live.
 
Duuu ni Kweli. USEMAYO
hii inchi nilipo mimi nilikuwa na kawaida ya kupita supermarket moja kununu bidhaa, kwa mwezi labda ninapita mara 2 ama 3 hivi, kuna muda nakuwa nawasindikiza washkaji zangu, kuna mdada mmoja wa kinajeria kila nikifika pale ananipigia jicho si la kawaida na hatohudumia wateja hujifanya kuzuga zuga mpaka ahakikishe nimetoweka kwenye duka hilo. siku tukaonana face to face maana yeye alikuwa anahudumia kwenye dawati la cosmetics.... aisee alipata shida sana pressure ilimpanda mnooo ila mwisho akaniambia I have a crush on you, I love you soo much. kisha kwa kasi ya ajabu akapotea eneo hilo, ni kweli wa west huwa hawafichi hisia zao. Kwa bongo labda gigi money tu, maana Rafiki yangu mmoja aliwahi kutongozwa na gigi money live.
 
Sisi bado tunalove za kimsitumsitu, wao ni wakweli mtu kusema uongo ni nadra sana, akisema uongo na ikajulikana anahisi jamii nzima itamtenga.
Kweli Mchungu
 
Back
Top Bottom