Sijui kama ananipenda?

MKUU KAMA ANAKUPENDA NA ANA SIFA SI UWE NAYE TU, HUKO MBELE UKIONA MZNGUAJE MNAACHANA KULIKO KUMWACHA BILA SABABU.. NUKSI.
 
Huyo ni Ebitoke....angalia sana!
 
Jaribu kuinywa hicho kitu alichotaka kunywa uone kama kweli ilikuwa sumu au laa baadae uje utupe mrejesho
 
yuko vizuri kila idara kwa mwonekano wa nje kuhusu kugonga bado
OK. kagonge kwanza kisha ndo uje tuendeleze huu mjadala, tunaweza kukushauri uoe kisha ukaja kuta bwawa ukaja tulaumu bure.
 
Aisee me naona hakupend kabisa huyo

Anakunywaje sumu kwasababu yako hapo amejiwazia yeye tu hajakuwazia ww utakuwa ktk hali gani endapo akifanya hvy,sio mtu mzur wa kujiweka karibu nae atakupotezea muda na uelekeo wa maisha yako

Tafakari.!Chukua hatua..!!!
 
Kaa mbali na huyo zezeta, hata ishia hapo ipo siku atakulazimisha mambo anayoyataka yy usipo mpa anatishia kujiua Hata kama uwezo huna atakuendesha kama gari bovu na iko siku atakunywa kweli hio sumu
 
Mie nitakushauri siku utakayothibitisha kweli alitaka kujiua au sio kweli !!.

BTW ,we ni MTU mzima ,kadri siku zitakavyosonga ndio utakua unamjua ,, but naww uwe tayar kwa ajili yake,, sio mwenzako apoteze muda alafu siku mnakutana unamzengua!!.
 
Dah napata wakati mgumu kukushauri sababu mtu mmejuana on net. Mmeonana mara1. Hamjawahi kunjunjana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…