My God.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.
" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,
Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,
Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]
Unapost Uzi kisha unajibu mwenyewe.Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi🙆🤦🤣 akienda jikoni uchi😲 waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli🤣😅🙌
Kabla haujamwoa haukuona dalili za hao watu kwamba ni wanyonya damu? Umeshakosea. Huyo hakufaa kabisa kuwa mke. Huo ni mwanzo tu. Ukipangua hilo, watakuja na njama nyingine. Ndoa zimekuwa ngumu sana siku hizi.Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.
" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,
Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,
Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
Kuna viumbe vya ajabu sana yaani mshahara wenyewe wa watu 2 halafu mijitu imejazana kwenye nyumba, kisa umeowa mtoto wao? Halafu unasema usionekane una roho mbaya kama mimi hapo natimua kama mbwa wote na mtoto wao pia wakafiran.....e mbele huko. Kuoteshana mvi na vipara mapema big nooooooMshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Bangi yako leo imechanganya IDs 😂😂😂😅 Ndo nilivyo sijui ata leo nimeamka na bangi gani 😁
Maona umejijibu mwenyewe , au mimi ndiyo sijaelewaHiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka kifalaHiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi[emoji134][emoji1751][emoji1787] akienda jikoni uchi[emoji44] waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli[emoji1787][emoji28][emoji119]
😂😂😂😂Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi🙆🤦🤣 akienda jikoni uchi😲 waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli🤣😅🙌