Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,222
- 3,016
Unapost Uzi kisha unajibu mwenyewe.

hahaaaahahaaha Sikuwazia kabisa hili swala Ani jamaa anajijibu mwenyewe Ani daah ameiva!!
Unapost Uzi kisha unajibu mwenyewe.

hahaaaahahaaha Alihisi ameshasign in ID ingine kumbe Yuko mulemule

Kumbe kasahau kulog outAlihisi ameshasign in ID ingine kumbe Yuko mulemule![]()

Ameshaharibu kazi huyu!!

.😂😂😂😂 mkuu hurumia mbavu zangu😂😂😂😅 Ndo nilivyo sijui ata leo nimeamka na bangi gani 😁
Kwanini usimtafutie mkeo biashara ya kufanya asikae nyumbani, itaepusha kuita ndugu zake kumpa kampaniKisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.
" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,
Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,
Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()
Jamaaa anatumia bangi sio mtu wa kawaidaMbona umejijibu mkuuHiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()
Kunywa thoda kwa mangi ntalipa mkuuu....Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.
" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,
Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,
Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
Mbona unajijibu Mkuu ?

yaaani yeye katoa kisa cha mtu, Kisha anacomment 

bongo buana.Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchiakienda jikoni uchi
waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli
![]()