Sijui Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Sijui Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,927
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.

" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,

Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,

Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.

Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
 
Duuh hatari sna, afu unakuta hawana hata habar

Wachane ukweli sometimes kujifanya chizi tu
Wakiwa wabishi hama apo kapange ghetto lako mpaka watakapo ondoka
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.

" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,

Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,

Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.

Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
 
Kisa kipo hivi jamaa anasimulia huko kwenye chanzo kimoja cha habari kwamba.

" Nimeoa Mwaka huu Ndoa yangu ina miezi 3, baada ya kufunga ndoa ndugu wa mke wangu waliokuja kwenye sherehe hawajarudi kwao, Mama zake wawili, wadogo zake jumla wako 5 ,

Familia imekuwa kubwa ghafla kila nikitaka kuongea na mke wangu kuhusu ndugu zake kuondoka anasema yeye hapendi kubaki peke yake, wakati Mimi nashinda kazini, nisaidie nifanyeje ili waondoke? Sikujiandaa kutunza familia kubwa ya watu 7 mapema hivi,

Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.

Ingekuwa wewe ingekuwa vipi?
Kabla haujamwoa haukuona dalili za hao watu kwamba ni wanyonya damu? Umeshakosea. Huyo hakufaa kabisa kuwa mke. Huo ni mwanzo tu. Ukipangua hilo, watakuja na njama nyingine. Ndoa zimekuwa ngumu sana siku hizi.
Ps: naona amejijibu mwenyewe. Ashakuwa chizi jamaa. Mke kamgeuza chizi. 😂😂😂
 
Hiyo mbona rahisi sana.
Dawa ni moja tu, kata kwanza huduma ya chakula, hakikisha unaondoka asubuhi sana bila kuacha chochote nyumbani halafu unarejea usiku mnene kuja kulala. Wakiuliza vipi? Waambie uko busy sana, vyuma vimekaza mbaya na una miche miche nyingi town. Wiki mbili mbona nyingi, watakopa nauli kurudi kwao.

Wakikomaa zaidi, 'haribu' kiujanja vifaa muhimu vya umeme kama Redio, TV na Jokofu, kwa kisingizio kuwa vimepigwa short ya umeme, halafu peleka kwa mshikaji vikakae kama vipo kwa fundi vile. Soon wataanze kupaona hapo nyumbani kwako kama jela.
 
Mshahara na budget yangu inatosha mimi na mke wangu na mtu mwingine yeyote mmoja, Nisaidie nitaongea vipi nisionekane nina roho mbaya.
Kuna viumbe vya ajabu sana yaani mshahara wenyewe wa watu 2 halafu mijitu imejazana kwenye nyumba, kisa umeowa mtoto wao? Halafu unasema usionekane una roho mbaya kama mimi hapo natimua kama mbwa wote na mtoto wao pia wakafiran.....e mbele huko. Kuoteshana mvi na vipara mapema big noooooo

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kwanza tuanze ni kabila gani hao

Nadhani ni watanga hao,na mbona bado

Ww anza na mwanamke ukitoka kazini ni kipigo tu mwanza mwisho ukisikia wanalalamika ,waambie hapa kwangu huyu ni mke wangu nilimuoa na mwenye sauti ni mimi ukiona vimbele mbele waambie nikitoka kazini nisimkute mtu humu kila mtu arudi kwao,na nauli jitahidi uwaachie

Nakuambia ukirudi utamkuta mkeo tu.alafu utakuja kunishukuru mkuu
 
Hiyo mbona rahisi sana ishatokea kwa jamaa mmoja alichokifanya akikaa sebuleni anakaa uchi🙆🤦🤣 akienda jikoni uchi😲 waliondoka Wenyewe, wakabaki kuhadisiana mshenzi kweli🤣😅🙌
😂😂😂😂
 
Mchukue mkeo honey moon fake mkae guest house au lodge usiache msosi wala hela ya kula ba make dure luku imeisha wiki moja nyingi.njaa haina ubaunsa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom