Mnaodanganya bei za mizigo kwenye basi chukueni tahadhari

James_patrick_

Senior Member
Mar 20, 2017
106
194
Kwa wale wote mnaopenda kutuma mizigo kwenye mabasi halafu mnadanganya bei mzigo wa milioni moja unasema laki moja.

Sasa kwa madereva hawa wa mabasi walivyo na mahesabu ya kitoto wanavyosababisha ajali..sijui inakuwaje sasa ukienda kudai fidia ya mzigo wako na ulisema mzigo ni wa hela ndogo.

Tuache tu hiyo tabia maana mtaingia sana hasara.
 
Kwa wale wote mnaopenda kutuma mizigo kwenye mabasi alafu mnadanganya bei mzigo wa milioni moja unasema laki moja.

Sasa kwa madereva hawa wa mabasi walivyo na mahesabu ya kitoto wanavyosababisha ajali..sijui inakuwaje sasa ukienda kudai fidia ya mzigo wako na ulisema mzigo ni wa hela ndogo.

Tuache tu hiyo tabia maana mtaingia sana hasara.
Nje kidogo ya mada: Madereva wote, nasema wote wa mabasi/malori ni Std seven na form 4 failures. Lazima ajali ziwe nyingi maana reasoning yao ni extremely poor!

Una declare thamani kidogo at your own risk!
 
Back
Top Bottom