Sijui huu ni mtego au...?

Kifupi umebahatika kupata mchumba asiyependa kukutumia Meseji ya "Bebi nikwambie Kitu"

Huyo anakupenda na angependa atulie na wewe

Kule mtaani Vijana wanasema "Mbuzi Kafia kwa Muuza Supu"
Hahah! Siwezi kuusemea moyo mkuu ila binafsi nampenda sana.
 
Mpaka anakwambia baba wa mtoto wake amefariki wewe Ndio ulimuuliza Hilo swali Ndio akajibu hivyo? au amejieza yeye mwenyewe kuwa baba wa watoto wake amefariki?
 
Nimekuelewa ndugu ila haikuwa na haja ya kutumia kauli zisizofaa.
 
Imekuwa gafla Sana sio mchezo,usiwe na haraka utaangukia Gali bovu kijana utajuta
Na hiyo nd'o hofu yangu maana hadi kupata hilo jibu lenyewe amenizungusha kidogo sasa iweje kwenye jambo hili liende haraka hivi.
 
Mkuu jipige kifuani mara 3 sema wewe ni fala...halafu skiza ushauri wangu.Unajua mwanaume kufa ni mara Moja right?Hebu nenda Tanga chap kale hiyo supu,nakuhakikishia kwenye hii sinario the worst that could happen ni kupakwa wese,bt think about it!!! kama ni kweli hayo yote anayosema ukipoteza hii nafasi utajitukana maishani.Jilipue Sheeee.
 
Kwa haraka ya namna hyo hta mm ningestuka ila usishangae ile kukuambia afkirie bas alvokuwa anavfkiria ndio hivyo.

Cheza kete zako kama Mwanaume hpo askuzd akili bro.
 
Naamini kuna point muhimu sana tu ambazo umeshindwa kuzitaja hapa, mfano nini ilikuwa reaction yako alipokwambia kuwa yeye ni single mother? Ulimwambia kama hilo sio tatizo na uko tayari kuanzisha mahusiano nae? Kwa ulivyojieleza wewe na yeye inaonyesha nyote ni watu wa dini, jee ni nini ulichomtaka kwake au ulitegemea? ulitaka ndoa au ulitaka kumuasi mungu nae kwanza? Nashangaa ni kwa nini afikie kukutafutia kazi huko kwao bila ya kukushauri wewe kwanza, una hakika hukumpa impression ya kuwa una mpenda sana kiasi cha kuwa utamfuata huko aliko? Kwa mtizamo wangu naona binti hataki kumuasi mungu na anataka kama unampenda basi umuoe tu, lakini nahisi wewe ni kama vile unataka kumchezea chezea tu na huna nia ya kumuoa. Ama kukutaka uhamie huko aliko inaonyesha huyu binti ameshaamua kuwa Tanga ndio maisha yake yalipo.
 
Nilimuuliza mimi.
Hapo sawa Ila nenda nae taratibu usifanye maamuzi ya haraka ya kusema unamuoa mchunguze vizuri akin'gan'gania umuoe haraka mwambie nahitaji muda tufahamiane zaidi ndipo tuingie kwenye ndoa kingine akikisha kabla hamjashiriki sex mkapime kwa afya
 
Watu wa Tanga ni wambeya mno....unatuchukuliaje sisi Watanga...


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…