Sijui hata nifanyaje?

😂 😂 😂
 
Huna haja ya kujiweka gerezani kwa sababu ya IST, Mrudishie hio IST tafuta Mwanaume unayempenda kama hana IST anza naye kutafuta hio IST , Maisha yako yana samani sana kushinda hio IST, kwani yeye anajua unampenda hivyo usipomuacha mapema inaweza kuhari maisha yako yote. Chukua mamuzi mapema, okoa maisha yako
 
Ndugu asante kwa ushauri mzuri..ngoja nijitajid...hii ni kwel ujue
 
Mwili wako unapata tabu kubeba bichwa limejaa matope ... go to hell mfk..huhuh
We shoga wa udom umesahau kufuta na hii nyau weee maskini wa akili wewe kuja kuvamia yasiyokuhusu mjinga mmoja weee ulijifanya kidume sana kuja kutukana kwa mambo yasiyokuhusu sasa kilichokufanya ufute coment nini?
Mtu mwenyewe hujui hata maana ya kujiamin hlf unavamia tu?
Liwe fundisho siku nyingine ukiona mambo hayakuhusu pita hiv mbwa weee
 
Mmh hayo matusi mamdogo
matamu sana kwa rough sex! Nakuja dm mm
 
Na ni kweli mkuu mtu kama huyo eti kakupa gari afu umwache kirahisi aisee patachimbika hawakubali kuachwa hao na kama ndo ivo kakupenda ndgu fanya maamuzi mapema mwisho wa siku atalazimisha ndoa hata kwa vitisho. Saivi unamuona mpole na romantic akikubadilikia hutaamini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…