Sijui hata nifanyaje?

Sasa gari bila kadi hata usipokuwa na mpango wa kulirudisha silita Rudi tu kwa mwenyewe siku akiamua kulihitaji
 
 
Kwahiyo wewe huwa unafika unapanda kitandani unasubiria kufanywa ili usikie raha?? Kufurahia mapenzi kunategemea na juhudi zako binafsi pia, sio utegemee mtu ajipinde tu wakati wewe unawaza kadi ya gari!
Haahaaa hadi nimecheka et nawaza kadi ya gar jaman! Ngoja ntajitahid ubunifu na mie lol
 
Njoo kwangu tutext mitambo ikijibu itakuwa bwan huyo anajini mahaba
 
Tatizo lako ww baada ya kumwona jamaa anakupenda sana umemuona weak, kwahyo unatafuta tafuta pengine kwa atakayekusumbua kihisia ndo umekosa hicho kitu.
Wala hata hajanionyesha ananipenda kihivo hara hasemagi ananipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…