Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,058
- 1,037
Niko mwaka watatu katika chuo fulani,sasa kuna dada nasomanae ametokea kunipenda sana,kila wakati anataka tuwe pamoja,tukienda kusoma kama ninamaji yachupa tuna share.
Mara anikumbatie,mara aniulize hivi kweli huwa unatongoza yani ni kila aina ya sarakasi.Tatizo ni kuwa mimi ninamchumba na nampenda sana japo yuko mbali.
Sasa nisipomdu si atanidharau sana? Namimi pia nikimdu akaning'ang'ania tuoane itakuaje kwa mchumba wangu? Ushauli wako unaweza kunisaidia.