Sijui atamwambia wife?

Sijui atamwambia wife?

martins paul

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
22
Reaction score
12
Kuna binamu wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana.Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo. Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango akafungua nikamwonesha ile hela na kumwomba niingie kumbe yule dada ni mlokole akaanza kunikemea hapo hapo akageuka mbogo.

Mlokole akaanza kunikemea hapo hapo
hia kuwaamsha nyumba nzima ikabidi nimpigie magoti akanifukuza mle chumbani kwa kweli nimepata aibu ya milele. Ilikua ni Ijumaa iliyopita yaani sasa hivi narudi home usiku sana ili tusionane na yule shemeji yangu na sijui hata anaondoka lini? Sasa sijui atamwambia wife au keshamwambia?

Nikipona hili sirudii tena nilikua nimezoe mabinti wakija kwetu hapa kwetu nawafuata usiku na noti ya elfu kumi au ishirini nagonga mlango na kuwaonesha zile hela nao unifungulia tunamalizana kama Mungu atanisaidia nipone.hili jaribu naacha tabia hii kuna mwenye jawabu nifanyeje? Wakuu naomba kujibiwa.
 
Umetisha...!

Pole sana mkuu.

Upone katika hili, ili iwe mwisho.
 
umeuchamba ----- eeh! ushaanza kukuwasha kwa wasiwasi...muone vile...
 
Kwani wewe unataka kufanyaje?
 
Sasa mkeo ana kazi gani kama unawanyatia wageni?
 
Nimepita Leo ninafanya mapenzi na jamii foramu na hichi kibaridi
 
mfuate tena atakuelewa...ila ongeza kiasi elfu 30 ndogo mno hata changudoa hupati
 
Back
Top Bottom