Sijisikii utamu

<br />
<br />


Chumvi haiumi jamani Mzizimkavu???
bibie Chumvi ya Mawe Punje 3 asage huyo dume wako kisha achanganye pamoja na Asali kipimo kijiko kidogo ajipake kwenye kichwa cha uume wake kisha anaweza kukuingilia utajisikia Raha tupu hebu wewe mwambie mpenzi wako ajaribu kufanya hivyo nilivyo kuambia kisha uni P.m
 
labda una hofu huyo unayefanya mapenzi nae anacheat,jaribu kurelax kidogo.....
 
kama kuna mtu au tabibu yeyote hasa wa miti shamba anaejua namna ya kunisaidia kujisikia utamu wakati wa ku do,naomba anisaidie dawa make huwa naona kero badala ya kuenjoy,kiufupi nasumbuliwa na FRIGIDITY.
<br />
<br />
tafadhali nitafute kuna mwenzio alikua na tatizo km lako lkn ss hv anakula nchi kwa raha zake!nitafute ndg yangu
 
Back
Top Bottom