Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wana wenza wengi,sasa wanaona noma. Maana wenza wao wataoneana wivu.
Af mnamsakama sana mwenyekitiwetu mbowe muachenii eee.. Kama hao wenu mbona baadhi Yao nao hatujawaona mfano mama samiaSijawahi Ona Viongozi Wakuu Wa Upinzani Wakiongozana Na Wenza Wao.
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
Wao wanahonga ubunge wa viti maalum kwa michepuko. Wakipata madaraka watahonga hata ikulu kwa michepuko.Hivi na wao walishawahi kuhonga nyumba za serik... kwa michepuko yao.
Hao viongozi muda wote wanawindwa na wakiwa wanaandamana na wenzi wao wote watakamatwa kwa kufanya maandamano sijui nyumbani atabaki nani na watoto, na wakikamata watahukumiwa kifungo cha bahati mbaya! Ukitaka hivyo anza kwanza kusafisha njia.Sijawahi Ona Viongozi Wakuu Wa Upinzani Wakiongozana Na Wenza Wao.
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
Kuna wengine wanahonga u Disii yaani Ikulu ndogo.Wao wanahonga ubunge wa viti maalum kwa michepuko. Wakipata madaraka watahonga hata ikulu kwa michepuko.
Wale wale tu.Kuna wengine wanahonga u Disii yaani Ikulu ndogo.
Wao wanahonga ubunge viti maalum na ujumbe wa kamati kuuHivi na wao walishawahi kuhonga nyumba za serik... kwa michepuko yao.
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
wanachepuka na mkeo yanini waongozane na wake zao!Hamjamboni!

Wao wanahonga ubunge wa viti maalum kwa michepuko. Wakipata madaraka watahonga hata ikulu kwa michepuko.
Wao wanahonga ubunge viti maalum na ujumbe wa kamati kuu
In fact hata hao viongozi wakuu wa upinzani hawajawahi kukuona wewe ukiongozana na mkeo, So ni ngoma droo tu.Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
Cha ajabu kipi? Uzuri hawajahi kuwekwa ndani kwa kudharau mahakamaKisarawe oyeeee