Sijawahi Ona Viongozi Wakuu Wa Upinzani Wakiongozana Na Wenza Wao.

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
 
Af mnamsakama sana mwenyekitiwetu mbowe muachenii eee.. Kama hao wenu mbona baadhi Yao nao hatujawaona mfano mama samia
 
Sijawahi Ona Viongozi Wakuu Wa Upinzani Wakiongozana Na Wenza Wao.
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
Hao viongozi muda wote wanawindwa na wakiwa wanaandamana na wenzi wao wote watakamatwa kwa kufanya maandamano sijui nyumbani atabaki nani na watoto, na wakikamata watahukumiwa kifungo cha bahati mbaya! Ukitaka hivyo anza kwanza kusafisha njia.
 
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
wanachepuka na mkeo yanini waongozane na wake zao!
 
In fact hata hao viongozi wakuu wa upinzani hawajawahi kukuona wewe ukiongozana na mkeo, So ni ngoma droo tu.
 
Kwa siasa za hapa kwetu afrika kwa upande wa wapinzani siasa ni kama uko uwanjani vitani hivyo ni nani atakubali kwenda na dia wake vitani
Hamjamboni!
Viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake mara kadhaa utawaona wakiambatana na Wenza wao wanapohudhuria shughuli mbalimbali za Kisiasa, Kichama, Kiserikali, Kidini au Kijamii n.k. Ushahidi wa jambo hili upo wazi kabisa Wala hakunaga Ubishi.
Hata hivyo nashangaa Sana Kwanini Viongozi Wakuu wa Upinzani hata siku moja huwezi waona wakiambatana na Wenza wao awe wa Kiume au wa Kike?
Najiuliza kuwa tatizo lipo wapi?
Je Ni masharti ya Waganga?
Je Ni ukosefu wa Maadili?
Je Wamekosa Wenza?
Je ni changamoto za kibaolojia?
Je Ni Sababu za Mila na Desturi?
Tusaidiane Wadau kupeana mawazo.
NB: Wenza ninaokusudia Ni kwa mujibu wa vitabu vya Dini Zetu Kuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom