Sijawahi kuwasikia Lowassa na Mbowe wakikemea rushwa na ubadhirifu!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Rushwa na ubadhirifu ni kero kubwa katika nchi hii.Mnaweza kama taifa kupanga mipango mingi lakini isifanikiwe kwa ufisadi.

Nimepitia maktaba sijaona pahali Lowassa au Mbowe wakikemea vitendo hivi,wizi,ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma.Nini kinawazuia? Je wana maslahi gani na hii sekta chafu?
 
Mafisadi hawahitaji kukemewa kwa maneno, inatakiwa washughulikiwe kwa mujibu wa sheria na mamlaka husika.
 
Wewe ni mgeni katika taifa hili,? Rushwa imekuwa ni ajenda ya chadema mwanzo mwisho. Muulize aliyegawa million 10 kwa kila mbunge wa ccm, je yeye anachukia rushwa?
 
Rushwa na ubadhirifu ni kero kubwa katika nchi hii.Mnaweza kama taifa kupanga mipango mingi lakini isifanikiwe kwa ufisadi.

Nimepitia maktaba sijaona pahali Lowassa au Mbowe wakikemea vitendo hivi,wizi,ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma.Nini kinawazuia? Je wana maslahi gani na hii sekta chafu?
Hebu tupe taarifa ni kwa kiasi gani serikali itaweza kuongezea Shilingi thamani dhidi ya dola.
 
Rushwa na ubadhirifu ni kero kubwa katika nchi hii.Mnaweza kama taifa kupanga mipango mingi lakini isifanikiwe kwa ufisadi.

Nimepitia maktaba sijaona pahali Lowassa au Mbowe wakikemea vitendo hivi,wizi,ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma.Nini kinawazuia? Je wana maslahi gani na hii sekta chafu?
You must be hopeless in making priorities (and this is so being a product of Lumumba), you are not sensitive of the environment you are in. Kwa mfano, katika environment ambayo Waganda mnakabiliwa na dikiteita Idd Amin, anaua watu indiscriminately, anazika watu wakiwa hai, which cause do you take?! You shelve all issues and rescue human life.
 
Rushwa na ubadhirifu ni kero kubwa katika nchi hii.Mnaweza kama taifa kupanga mipango mingi lakini isifanikiwe kwa ufisadi.

Nimepitia maktaba sijaona pahali Lowassa au Mbowe wakikemea vitendo hivi,wizi,ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma.Nini kinawazuia? Je wana maslahi gani na hii sekta chafu?
Nani kakudanganya kukemea rushwa na ubadhirifu ndio kuchukia ubadhirifu na rushwa? Majuzi tu hapa Mbowe amewaonyesha jinsi mlivyowahonga wabunge wa chama chenu milioni kumi kumi ili wapitishe muswada kwa mwendo kasi, uliona mlichokifanya? Lugumi iko wapi? Escrow hujui kama inaendelea kukamua kodi zetu kila kukicha? Acheni kudanganya watu na bla bla zenu!
 
Wewe ni mgeni katika taifa hili,? Rushwa imekuwa ni ajenda ya chadema mwanzo mwisho. Muulize aliyegawa million 10 kwa kila mbunge wa ccm, je yeye anachukia rushwa?
Ona aibu wewe mpuuzi! CDM wangekuwa wajinga hayo unayosema wangempokea Bwana Yule aliyekataliwa na Chama Chake? Au wangeondoa orodha Kuu kwenye Tovuti yao?
 
Chadema ni chama kikuu cha kutetea na kuhifadhi mafisadi Tanzania.

Ndio maana kila anayetumbuliwa kimbilio lake ni chadema!!!!!
 
Nani kakudanganya kukemea rushwa na ubadhirifu ndio kuchukia ubadhirifu na rushwa? Majuzi tu hapa Mbowe amewaonyesha jinsi mlivyowahonga wabunge wa chama chenu milioni kumi kumi ili wapitishe muswada kwa mwendo kasi, uliona mlichokifanya? Lugumi iko wapi? Escrow hujui kama inaendelea kukamua kodi zetu kila kukicha? Acheni kudanganya watu na bla bla zenu!
Hawa usiwajibu:
1. Lupyee
2. Gongigoine
3. Wakudadavua
4. etc
Do not waste time
 
Tumekusikia wewe basi rizika au wewe si mtanzania? Huo ni Uhuru wao wa kusema ama kutosema.
 
Mbowe alimtaka malaika awawajibishe wabunge waliokuwa 10m,yule mwandishi alipoomuuliza malaika maoni yake akamjibu na yeye ajiunge na chama kilichopewa 10m ili naye arambe rushwa
 
wakemee ili kiwe nini kama mahakama yenu ya ufisadi tu imekosa kesi huku bosi wako akiogopa inshu ya LUGUMI kumnyonya damu au ukiziwi? unapata habari nusunusu?
 
Suala la rushwa Na ubadhilifu katika nchi hii ni la kawaida kabisa.Ccm inalijua vizuri sana tena sana kwani in chimbuko Na inalilea Kwa nguvu zote hivyo tuwaachie ccm wazidi kuliboresha kwani majibu mnayotumbuani wote ni wana CCM
 
Rushwa na ubadhirifu ni kero kubwa katika nchi hii.Mnaweza kama taifa kupanga mipango mingi lakini isifanikiwe kwa ufisadi.

Nimepitia maktaba sijaona pahali Lowassa au Mbowe wakikemea vitendo hivi,wizi,ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma.Nini kinawazuia? Je wana maslahi gani na hii sekta chafu?
Anayepigania kelele ameziacha zile Bilioni 8 bza Meli mbovu,zile za Barabara za chini ya Kiwango,Lugumi na Escrow anasema.hataki kkufukua Makaburi maana anajua kuna KABURI moja lake.Pole sana Tusipende.kusifia sana kwani aisifuye Mvua imemnyea.
 
Ha ha ha ha ha
Kuna masrahi binafsi ndani yake
 
Rushwa na ubadhirifu ni kero kubwa katika nchi hii.Mnaweza kama taifa kupanga mipango mingi lakini isifanikiwe kwa ufisadi.

Nimepitia maktaba sijaona pahali Lowassa au Mbowe wakikemea vitendo hivi,wizi,ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma.Nini kinawazuia? Je wana maslahi gani na hii sekta chafu?
Mbona wapo waliopiga pesa za mabehewa feki,kivuko chakavu,ujenzi Reli kwenda Airport,bomba la gesi,Escrow ,Lugumi nk ,lakini wanapiga mayowe juu ya Ufisadi,Nchi hii Unafikia umejaa sana,unaweza kupiga Dili na hapo hapo ukajidai kukemea ufisadi na kwa sasa kukemea ufisadi haina nguvu kwani mahakama ya ufisadi ipo wawasake mafisadi wawapeleke huko.
 
Back
Top Bottom