Sijawahi kuwasikia Lowassa na Mbowe wakikemea rushwa na ubadhirifu!

Ona aibu wewe mpuuzi! CDM wangekuwa wajinga hayo unayosema wangempokea Bwana Yule aliyekataliwa na Chama Chake? Au wangeondoa orodha Kuu kwenye Tovuti yao?
Katika wapuuzi ww unaweza kuwa bingwa wa wapuuzi. Kama unajua bwana yule ni fisadi mpelekeni mahakamani sio kila siku mnaropoka na kuhuroroja hoja zenye vioja. Polisi ni yenu,fedha mnakusanya za kutosha,mahakama zenu,magereza ni yenu na hapa majuzi mmeanzisha mahakama ya mafisadi na mmesema imekosa watuhumiwa. Hii ni wazi ccm imeshindwa vibaya katika kuongoza wananchi mmebakia na propaganda maji chafu na uongo tu.
 
Back
Top Bottom