Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Bujibuji kumbe we ni msabato? nimekudharau sana
umemzarau kwa lipi, kamasabato itakuwepo hata mbinguni? Isaya 66:22-23 na Yohana 14:1-3
Bujibuji kumbe we ni msabato? nimekudharau sana
Adolf Hitler aliye ua watu milioni kumi na mimi niliye mdanganya konda wa Ubungo-Kariakoo kwamba ni mwanafunzi, nikalipa nauli ya mwanafunzi, wote tumetenda dhambi sawa?
Amri ya NNE kutoka/ Exodus 20:8-11
Labda niulize swali kwanini kwenye katekisimu hizi amri ziko changed wakati biblia nyingi zinataja hizo amri zote?
Pia amri ya pili yaani fungu la 4-6 haifatwi na kina fulani fulani.
Wanakubali kuwa Yesu alifufuka siku ya Jumapili ambayo ni siku ya kwanza according to the bible je kwanini hawasali siku ya Saba?
kusali jumamoja,mbili n.k hakumaanishi lolote mkuu,kila cku ni cku ya mungu,hzo cku zisikuchanyanye mkuu,mbinguni utaenda hata ukisali juma4 badala ya ijumaa ama jumapili,cha muhimu utende yaliyo mema tu broo
nendeni makanisani kwenu mukaambiane hayo.
toeni hoja zenu za kidini hapa ndani.
thea4,malengo yako makubwa ktk thread yako ni nini?
1.Kutuonesha mpangilio ulio sahihi wa amri hizo kwa mujibu wa uelewa wako?
AU
2.Kutufahamisha kuwa hujawahi kuzini?
thea4,malengo yako makubwa ktk thread yako ni nini?
1.kutuonesha mpangilio ulio sahihi wa amri hizo kwa mujibu wa uelewa wako?
Au
2.kutufahamisha kuwa hujawahi kuzini?
Ninapo msikia padri, mchungaji, ama muumini wa dini ya kikristo anaizungumzia amri ya sita akimaanisha usizini huwa namuhesabu kama mtu asiyesoma biblia kwa ufasaha. ( ANAIPAPASA ). kulingana na biblia, USIZINI ni AMRI YA SABA na sio AMRI YA SITA kama wengi walivyo zoea. Ushahidi huu hapa.
EXODUS ( KUTOKA )
The Ten Commandments
20 And God spoke all these words:
AMRI YA KWANZA.
[SUP]2 [/SUP]I am the Lord your God, who brought you out of Egypt, out of the land of slavery.
[SUP]3 [/SUP]You shall have no other gods before[SUP][a][/SUP] me.
AMRI YA PILI
[SUP]4 [/SUP]You shall not make for yourself an image in the form of anything in heaven above or on the earth beneath or in the waters below. [SUP]5 [/SUP]You shall not bow down to them or worship them; for I, theLord your God, am a jealous God, punishing the children for the sin of the parents to the third and fourth generation of those who hate me, [SUP]6 [/SUP]but showing love to a thousand generations of those who love me and keep my commandments.
AMRI YA TATU
[SUP]7 [/SUP]You shall not misuse the name of the Lord your God, for the Lord will not hold anyone guiltless who misuses his name.
AMRI YA NNE
[SUP]8 [/SUP]Remember the Sabbath day by keeping it holy. [SUP]9 [/SUP]Six days you shall labor and do all your work,[SUP]10 [/SUP]but the seventh day is a sabbath to the Lord your God. On it you shall not do any work, neither you, nor your son or daughter, nor your male or female servant, nor your animals, nor any foreigner residing in your towns. [SUP]11 [/SUP]For in six days the Lord made the heavens and the earth, the sea, and all that is in them, but he rested on the seventh day. Therefore the Lordblessed the Sabbath day and made it holy.
AMRI YA TANO
[SUP]12 [/SUP]Honor your father and your mother, so that you may live long in the land the Lord your God is giving you.
AMRI YA SITA
[SUP]13 [/SUP]You shall not murder.
AMRI YA SABA
[SUP]14 [/SUP]You shall not commit adultery.
AMRI YA NANE
[SUP]15 [/SUP]You shall not steal.
AMRI YA TISA
[SUP]16 [/SUP]You shall not give false testimony against your neighbor.
AMRI YA KUMI
[SUP]17 [/SUP]You shall not covet your neighbors house. You shall not covet your neighbors wife, or his male or female servant, his ox or donkey, or anything that belongs to your neighbor.
KWA MABTIKI HII, SIJAWAHI KUVUNJA AMRI YA SITA TANGU NIZALIWE.
Nitake radhi wewe, mimi niwe msabato nina kichaa! Mimi ni Mkatoliki kaka, ndio habari ya mujini but am just speakin tha truth
Usitamani mwanamke asiye wako
Usipotoshe ndugu! hiyo uliyoweka kama amri ya kwanza na hiyo ya pili ni fungu moja, kwamba USIWE NA MUNGU/MIUNGU MINGINE isipokuwa Mungu YEHOVA! hiyo amri yako ya saba inakuwa kama ilivyo Amri ya Sita! kwa ufupi hiyo uliyofanya Amri ya Pili ni ufafanuzi wa Amri ya Kwanza!