Mi sio Msabato, ni msomaji wa BibliaBujibuji kumbe we ni msabato? nimekudharau sana
Umewasoma enheh! Ivi washavunja amri ngapi za mungu kwa makusudi? Bibilia inawaambia "nendeni mkazaane muijaze dunia" lakini wao kiongozi wao haruhusiwi kufanya mapenzi, hivi huku sio kuvunja amri ya mungu?nendeni makanisani kwenu mukaambiane hayo.
toeni hoja zenu za kidini hapa ndani.
hakuna amri ndogo na kubwa,
zote uzito wake ni sawa
na aliziandika Mungu mwenyewe kwa kutumia
vidole vyake.
Lakini msamaha upo endapo utatubu na kujinyenyekesha.
Mi ni mdau wa Matendo ya Mitume sura ya kumiDah afadhali, ningeshangaa, mjanja kama ww, tena unayetumia picha ya mjanja kama NKEM OWOH uwe msabato?
thea4,malengo yako makubwa ktk thread yako ni nini?
1.Kutuonesha mpangilio ulio sahihi wa amri hizo kwa mujibu wa uelewa wako?
AU
2.Kutufahamisha kuwa hujawahi kuzini?
Kumbe ktk ukristo Mkatoriki ndie mjanja na Msabato ni mjinga? Kweli dini hii ni shamba la bibi. (mradi wa watu kujilimbikizia fedha)Dah afadhali, ningeshangaa, mjanja kama ww, tena unayetumia picha ya mjanja kama NKEM OWOH uwe msabato?
Nitake radhi wewe, mimi niwe msabato nina kichaa! Mimi ni Mkatoliki kaka, ndio habari ya mujini but am just speakin tha truth
Kumbe ktk ukristo Mkatoriki ndie mjanja na Msabato ni mjinga? Kweli dini hii ni shamba la bibi. (mradi wa watu kujilimbikizia fedha)
Bujibuji kumbe we ni msabato? nimekudharau sana
WASABATO SIO WAKRISTO................Father ( Jina lake na jina la parokia navihifadhi )