Mimi huwa namtoa sana tu, ila anataka nimpeleke kwenye bei (viwanja matawi ya juu). Lakini huwa naudhika sana tukiwa out kwani anakuwa busy na facebook kama vile mimi ni hewa tu
Mbona simple sana kumtoa mwanamke Out, chakufanya we mwambie demu wako asimame mlangon then ww ukiwa kwa ndani alafu msukumie nje,. Moja kwa moja utakuwa umemtoa Out.
Ulipokuwa mdogo familia yenu hamkuwa mnatolewa out? Inaweza kuwa sababu hujui raha ya outing! Sema kiTz noma sana ukimwambia mtu tukapate dinner ama lunch ujue mlipaji ni wewe. Yani majuu raha unamwalika mtu hotel na kila mtu anajilipia, inaongeza heshima pia no kuonana kama miungu watu