Sijawahi kusikia mbilikimo kafariki

Sijawahi kusikia mbilikimo kafariki

Wanakufa kama kawaida....uliza watu walioishi kasulu miaka ya 2000 huko kuna mbilikimo aliyeikuwa akiitwa TOMA alikuwa mtoza ushuru au mtangaza matangazo ya serikali na zile spika za kuongelea mdomoni....Jamaa alifariki kwa ugonjwa kama binadamu Wa kawaida na akazikwa,hao ni binadamu kama sisi tu.
 
Congo D. R wanaliwa
Uongo,,hao mbilikimo ndio hula watu...ninaishi na Jamaa mkongo ambae kufika kwao lazima upite kijiji cha hawa mbilikimo huko Congo wanaitwa wambote achana nao hawa Jamaa kwa ukorofi na uchawi...unaambiwa wanatekaga treni wanafanya fujo.
 
Back
Top Bottom