The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?
Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
Haihitaji Phd kupiga mizinga na huo ndo ukweli kwa jeshi lolote duniani.Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?
Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
Acha uongo na porojo.
Yupo mmoja huyu hapa ni askari wa JWTZ jina lake
Major General Prof. Yadon Kohi
utajuaje wakati wewe upo huko uraiani watu wameenda kidatoNaomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?
Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
Kwa hiyo unaona uprofesa ndio dili...mbona husemi hujawahi kuskia profesa wa aina yoyote aliefikia ngazi ya umilionea..Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?
Ni wasiwasi wangu kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa kutoajiri wasomi sana ili kuwapa nafuu watawala kuwaongoza kwa sababu ni rahisi kumuongoza mtu unaemzidi elimu kuliko anaekuzidi. Au imetokea tu?
umesema yupo mmoja i guess the guy is correct.Acha uongo na porojo.
Yupo mmoja huyu hapa ni askari wa JWTZ jina lake
Major General Prof. Yadon Kohi
Mie na ka elimu kangu ka msingi, ninavyojua zamani Prof. ilikuwa anaweza kuwa ana masters lakini akaandika pepa nyingi sana na zikawa zimepitishwa ndio anakuwa prof. siku hizi nasikia eti kuwa prof. lazima uwe na Phd na pia uandike sana, sijui lakini mwe mwe mie na darasa langu la saba ya wakubwa siyajuiHiki sio K.I.L.A.Z.A jamani elimu ngazi ya prof. ndio nini?
Huitaji nguvu peke yake ili kusimamia ulinzi na usalama pia kisomo kinahusika sanaJwtz wapi wawomi wengi na wazuri sana.
Ila posti yako ina kaukweli huu ya askari wetu. Japo sijafanya tafiti ila naomba kutoa mawazo yangu.
Nafikiri Polisi hawaitaji wasomi wa kiwango cha PHD na kuendelea kwa sababu
1: Polisi yetu haipo huru na inaingiliwa sana na wanasiasa MF: unampomteuwa kada wa Chama (Makonda) kuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi mkoa wa Dar hapo utaona mkanganyiko unapoanzia. Kama jeshi la Polisi litakuwa na wasomi wanaoeshimu taaluma zao sidhani kama hili jambo wangelikubali.
Huo ni mtazamo wangu na nategemea kujifunza zaidi kupitia huu uzi
Naomba kueleweshwa ikiwa wapo ila itifaki hairuhusu kujitambulisha au hairuhusiwi mtu mwenye elimu ngazi ya profesa kua askari?
Dah.. Uprofesa si lazima uwe na masters au PhD, ni kufanya utafiti tu na kama utakusaidia wewe au jamii inayokuzunguka basi tayari wewe ni profesa tayari,,,,, Profesa majimafupi, profesa mshana jr etcMie na ka elimu kangu ka msingi, ninavyojua zamani Prof. ilikuwa anaweza kuwa ana masters lakini akaandika pepa nyingi sana na zikawa zimepitishwa ndio anakuwa prof. siku hizi nasikia eti kuwa prof. lazima uwe na Phd na pia uandike sana, sijui lakini mwe mwe mie na darasa langu la saba ya wakubwa siyajui
Mbona Ph.D ziko za kutosha tu huko Polisi. Kwa uchache tu alikuwepo Dr. Mohamed Chicco (Ph.D), Dr. Peter Kivuyo (Ph.D), Dr Ahmed Makata (Ph.D) na vijana kama watatu hivi. Kuhusu kuwepo wasomi mbona wenye Masters hata huwezi kuwahesabu. Ile dhana ya zamani kuwa askari hawana elimu iliishapitwa na wakati. Wewe ndiye unaejipambanua kuwa huna shule na elimu yako ni ndogo sana.Alikuwepo Profesa Pallangyo wa polisi pale kilwaroad