Sijawahi kupanda ndege

ndege waache wapandane wao kwa wao wewe panda binadamu, watu wa haki za wanyama wanakuona mkuu
 
Na utakapo kua unatua angalia jinsi ma paa ya nyumba za dsm yalivochakaa,utazan mogadishu..serikal ijitahid kwakwel ndomana hawa makinikia wanatudharau
Hakuna kitu huwa kinanikera kama unavyoanza kutua Airport ya Dar yani ukitokea upande wa bahari mandhari nzuri zunguka sasa uone kutu za kutosha daaah shuka sasa majiji ya wenzetu utapenda .
 
Umeona eeh au unaziwa pepsi kumbe ni chai ya rangi isiyo hata na sukari..........

Siti za dirishani durudani sana, hasa kwenye bombadier
nilitaka kumwambia kuwa Huduma za vyakula na vyakunywa ni buree ila nikaona aibu.

maana nasikia ndege za kwenda nje wanatoa vyakula bure sasa iweje fastjet waniuzie Maji? ndo maana walinizuia nisiingie na Maji yangu hili ninunue yao .siku hizi nishawajulia sinunue chochote
 
Sawa, swali la mwisho, nikiwa angani nikichungulia dirishani naona vitu vya chini kama miji, misitu nk au havionekani?
Hata mate unaweza kutema na ukaona yalikododokea
 
Hakuna kitu huwa kinanikera kama unavyoanza kutua Airport ya Dar yani ukitokea upande wa bahari mandhari nzuri zunguka sasa uone kutu za kutosha daaah shuka sasa majiji ya wenzetu utapenda .
Na pia kuna makelele sjui niite sauti flani kama mruzi, huwa inasikika ndege inapokaribia kutua aisee mwanzo ilinisumbua sana. Hii huwa sauti ya nini maana mpaka masikio huwa yanaziba.
 
Hey , how are you ?
Jamani kitambo mno.

Wazima kabisa kipande hii . Vipi upande huo ?
Do you wish to travel by plane and you don't know the starting point? L and I FLIGHTS is the good solution and easy way to accomplish your dream to all destination local and international ,how to get visa ,booking for the tickets,tours trip ,we are available all the time for more information feel free to contact us for any enquries .L AND I FLIGHTS FLY THE WORLD CHEAPLY

Our contacts - +255-755752991 +255-719879191
EMAIL . info@landiflights.co.tz
 
Kwa kuunga ndege au hiyo fastjet moja kwa moja? Nauliza mkuu
 
Sema unataka kuweka historia yako
Kuvunja rekodi ni pale unapofanya kitu hakijafanywa na mwingine
Na wewe umekosea... Kuvunja rekodi ni kufikia rekodi ya mtu au kitu ya awali. Mfano, kama Rekodi ya mtu kulala mda mrefu zaidi ni saa 48 mfululizo,basi akitokea mwingine akalala hizo hizo au akalala saa 49 tayari amevunja rekodi.
Kwa ulichosema wewe kinaitwa "kuweka rekodi/kuandika rekodi" na siyo kuvunja rekodi.
 
Wazee wa fursa
 
Hakuna kitu huwa kinanikera kama unavyoanza kutua Airport ya Dar yani ukitokea upande wa bahari mandhari nzuri zunguka sasa uone kutu za kutosha daaah shuka sasa majiji ya wenzetu utapenda .
Nilipokua ughaibun kwa mda mref,sasa siku ya kurud bongo,yaan nilivoshuka kuna hewa flan ya mvuke wa moto ilinipiga paaa,na kuna ki haruf flan hiv cha uozo,nkasema kwel africa ni yetu na ulaya ni ulaya tuu.yaan haruf flan hiv ya ajab
 
Tupeane fursa kaka ukiitaji kusafiri ; tunatoa tiketi
 
Ufunge mlango ukienda chooni. Siku moja nilikuta mdada kaachia kitu nje kojo linamwagika cuz hakufunga mlango
 
Sio bure bali inakuwa included kwenye air fare . kwa flight za ndani Bombadier na precision wanafanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…