Sijawahi kupanda ndege

Umenikumbusha kanyimbo ka Prof Jay (Naitwa Sajenti: Kabyemela kwa niaba ya Jeshi la Polisi Nilikuwa naulizia helkopta zetu vipiiiiiii!!!!!! hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa)
 
Hivi lipo hilo jambo? Yani tangia dunia kuumbwa kwake, iwe wewe ndiye binadamu wa Kwanza kulifanya, jambo hilo lipo kweli?
Yapo mambo mengi tu! Wengine walifanya kidogo wewe unakuja kuzidisha pale walipokomea. Pia uvumbuzi wa vitu vipya bado unaendelea, dunia bado changa sana ukilinganisha na tulikotoka
 
Ukitaka u enjoy zaidi mkuu, Nenda hadi Bukoba. Laki nne na sitini tu Return. kwa route hii uta enjoy zaidi mandhari ya Ziwa Victoria na utafurahia zaidi utuaji/ na urukaji wa ndege katka airport ya Mwanza ukiwa unatoka/kuelekea Bukoba.

Safari njema mkuu.
 
Inaruhusiwa na kupokea na kupiga simu ukiwa ndani ya ndege ?
 
Kuwa mvumilivu mkuu uje upande yangu make natarajia mwaka 2050 ninunue jet yangu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…