ha ha ha ha ha babuuu chei cheiShkamo kifinga
ha ha ha ha ha unaweza tafuta mmoja uka test za mwanza zikoje ongea hata na muhudumu wa hotel ukamtoa kiselaSawa, nashukuru nitafanya vyote na ntachukua tahadhari nisizini
Pole subiri yanakuja mabombadia yakutosha soon ndege zitakuwa kama bodaboda!Mimi pia jmn
Siku ukienda Mwanza unambie nikutume Sangara. Sangara wakipanda ndege wanakuwa watamu kuliko Kei...ha ha ha ha ha babuuu chei chei
Hahahahaha... mwalimu wako alikuambia kwanini halifunguliwi?Kwenye physics tulifundishwa dirisha la ndege halifunguliwi mkuu.
ha ha ha ha ha ha ha ha kei tam bwana si unaona diamond kaifata south africa safari ya masaa matatuSiku ukienda Mwanza unambie nikutume Sangara. Sangara wakipanda ndege wanakuwa watamu kuliko Kei...
Hivi ameenda kwa magoti kama alivyoahidi?ha ha ha ha ha ha ha ha kei tam bwana si unaona diamond kaifata south africa safari ya masaa matatu
Pole subiri yanakuja mabombadia yakutosha soon ndege zitakuwa kama bodaboda!
Chagua!Pole kwa maana gani chief? Kua ukipanda ndege unakuaje labda?
Chagua!
Si kila jambo lina maana na si kila jambo halina maana .The choice is yours!Nini? We msukuma acha zako bana
Si kila jambo lina maana na si kila jambo halina maana .The choice is yours!
Vema!Mm napanda za asili
Mkuu halifunguliwi kwa minajili ya kama vile unavyofungua au kushusha kioo cha gari, linafunguliwa kwa maana ya kwamba madirisha ya abiria hasa kwenye ndege kubwa yana cover flani linalozuia kuona nje; Kama mtu huitaji kutazama nje au chini ardhini unaweza kushusha cover la dirisha, ila kama unapenda kutizama nje ardhini na kupiga picha wakati ndege ipo juu unaweza kupandisha hilo cover na kuweza kuona nje kupitia kwenye kioo. Katu madirisha au vioo vya ndege hayafunguki na haviwezi funguliwa ndege ikiwa angani. Vioo vinavyoweza kufunguka ni vya mbele kwa marubani tu na vinaweza funguliwa ndege inapokuwa imetua chini pekee.Kwenye physics tulifundishwa dirisha la ndege halifunguliwi mkuu.
Best umepotea nipe habari za upande uleOnce you reach cruising level . Don't use any electronic device during takeoff and landing. Switch them off.
Wakuu habari za leo.
Kichwa kinajieleza, sasa nataka kuvunja rekodi hii, naomba kufahamu A to Z, nikitaka kwenda Mwanza toka Dar, naanzaje?