Hayo mambo mazuri... endelea nayo tu mkuu¡ ila ni vyema sana kama ukajua impact zake kwanzaWajukuu wa Bi Ellen White na kobazi wa Mudi mnakosa mambo mazuri sana. Watu wanakula mdudu! nyinyi mnaleta habari za kucheua!
Unashindwa wapi?Amekaririshwa ujinga na kauvaa.
NASHINDWA KUELEWAA
Faida zake unazijua lakini..!?Unashindwa wapi?
Zipo sana tembelea Nyanda za JuuHivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Hivi Sehemu nyingi utakuta Supu Mbuzi/Ng'ombe Kuku,Samaki na Pweza hata wanapouza Kitimoto sijawahi kuona supu yake inauzwa
Astagghhfirrlulahhh!!
Hahahaaa... faida zipo ila unaangalia kipi ni bora zaidi kati ya faida na hasara¡Faida zake unazijua lakini..!?
Kwahiyo wewe umeona hasara ni kubwa zaidi kuliko faida..!?Hahahaaa... faida zipo ila unaangalia kipi ni bora zaidi kati ya faida na hasara¡
Yah¡ tena hua situmii nyama zote¡Kwahiyo wewe umeona hasara ni kubwa zaidi kuliko faida..!?
Wewe ndo umepotea mjombaDuh¡ inasikitisha sana... ok¡ ni uchaguzi wako ila fikiria mara mbili kuhusu hilo¡
Ondoa fikra za kitumwaYah¡ tena hua situmii nyama zote¡
kwa nini? Kwani napungukiwa nini?Wewe ndo umepotea mjomba
Sasa mkuu kama wewe hutumii nyama ndiyo unataka na wenzio wasitumie?Yah¡ tena hua situmii nyama zote¡
Hata sisi hatupungukiwi na chochote kwa kumtafuna mdudu, sana sana tunapata protini kwa wingi, zinc na vingine vingikwa nini? Kwani napungukiwa nini?
Kama nimepotea...
hakuna aliyenishikia rungu, kwamba unaacha huachi.....Ondoa fikra za kitumwa