Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

Lemme me ask you something, suppose katika safari zako zote kila sekunde huwa unapiga picha na kuchukua video?! Do you know what I like and dislike?! Among the things I hate the most is taking snaps or video... So hata kuwaona sikuona umuhimu wa kupiga picha since kazi yangu ilikua inanitaka kuchukua picha za kazi tu cause it was a research and I hated that job sababu I don't like taking pics at all... So whether you believe me or not that's non of my business ila usifoc kua hamna mapacha wamasai "HUJATEMBEA BADO" or maybe you're still young
Basi hauna haki ya kuniambia mimi sina proof ili Hali nawe hauna...
Hujui mimi ni nani mpaka nasema hvyo, nimekulia huko since day one na nimekutana nao sana but I never meet identical twins wa kinjere
KEEP QUIET MF
 
Umeongea ukweli kabisa, kwa mujibu wa mama hiyo ndio sababu kui iliyomfanya aachane na dingi.
 
Unaongelea jamii ya mwaka gani morani?

Au ni mswahili umekuja kutuvuruga mkuu?

Anyway sishangai maana kuna waliowashangaa wazee wetu wakiongea kiingereza smart wakazusha ni wakenya
 
Eti mama azae watoto 2 halafu asijue...yeuwiiiiii labda azae kwa kisu...ila Kama kwa kusukuma lazima ajue ati....ngoja nikawajibike mie.
 
Hao niliowazungumzia mimi post #11 wamezaliwa porini na mpaka keshokutwa maisha yao ni porini, kijijini huja kutembea tu sababu wengi wanamiliki piki piki maana ndo usafiri wao mkubwa

Pia hupigia misele dada zetu ila wao hawataki si tuchukue dada zao mi wananiuzi hawa
vidada vyao vyenyewe havina kichochea utamu.
 
vidada vyao vyenyewe havina kichochea utamu.
Weeee weeee weeeee....! Kuna kipindi walikuja dada zao likizo acha kabisa....walikua wamepqnda hewani kiasi, weupe kiasi ( wenyewe mnasema maji ya kunde )...chura ya kiushkaji...mpaka wenyewe wakawa wanawatamani dada zao...yaani acha kabisaaaa
 
Mleta mada naomba nikupinge kwamba siyo kweli....

Nenda Morogoro, Wilaya ya Kilosa, kijiji cha Msowero, ukifika mwambie Boda boda yeyote yule akupeleke kwamasai anaitwa KINYOZI (huyu ni masai na yupo umasaini kinachofanya ajulikane ni kutokana na kuwadhamini wenye mabucha, yaani yeye anachinja ng'ombe kisha anawapa wamiliki wa bucha za nyama wauze jioni anapitia pesa yake, huyu ni mwaminifuu sana pia kuonekana kujichanganya na wanakijiji ni kitu cha kawaida maana anapenda sana kucheza pool table na anatabia za kwenda na wakati )


Hawa wapo mapacha na inasemekana familia yao ina watoto pacha pea tatu kwa hiyo jumla wapo sita

Kisha urudi hapa ufute huu uzi wako
Nadhani kwa wanaozaliwa kule ndo huwa wanafanyiwa hivyo ila hao wanaozaliwa nje ya maeneo yao ya kimila ni tofauti sasa we umetaja Kilosa Boss huoni kuna tofuati
 
Habari wakuu

Niko mbele yenu kutoa ufafanuzi kidogo juu ya, maswali ya wengi kuuliza kama huwa Kuna watoto huzaliwa mapacha umasaini...
Ukweli ni kwamba hata mimi tokeaa kuzaliwa katika jamii yangu sijapata kuona mapacha, neither wa kufanana nor fraternal..
Nimekuwa nilijiuliza Bila kupata sababu. Lkini katika kupevuka kiakili na kuanza kushiriki katika jamii moja kwa moja, nimegundua sababu inayo fanya viumbe hawa kutokuonekana......

Wamasaii ni moja wa jamii ambayo iko conservative sana, wamefungwa na mila na desturi za wazee na wakati mwingine huusianisha na imani za kishirikina kuwa mapacha kuzaliwa ni dalili ya kuchukizwa kwa mizimu kwa jambo fulani hvyo lazima jambo lifanyike kuweza kupooza au kuzuia kabisa hasira za mizimu....

Kwa kawaida ili mizimu iweze kunyamaza ni lazima kafara itolewe ili wapate damu nipo watakapo Achilia msamaha kwa jamii husika

KAFARA HIYO NI NANI???

Kwa swala kama Hili mizimu haiitaji kafara ya ng'ombe ama mbuzi Bali damu ya Mwana damu ndo inahitajika....

Lazima mmja watoto waliozaliwa apelekwe kibla ili kuinusuru jamii

Na swala Hili hufanyika kwa siri sana Bila hata baba wa mtoto kujua, na wakt mwingine hata mama mzazi mwenyewe hujui
Inakuwa ni ishu ya wakunga au msaidizi yoyote muda wa kuji fungua.
Hii ndo sababu kubwa kwanini hatuoni mapacha wa Kimasaiii!!!!!!!

End..
Wakunga wa jadi huwa na siri nyingi. Huweza kutangaza kuwa mtu kajifungua mifuko ya plastiki ilihali sio kweli, jamii ikataharuki, na wao mioyo yao ikasuuzika kwa azma yao kutimia kulingana na malengo (maslahi kusudiwa)
 
Tatizo watu wanaleta mahaba hawataki uhalisia wa mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom