Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,071
Reaction score
1,428
Habari wakuu

Niko mbele yenu kutoa ufafanuzi kidogo juu ya, maswali ya wengi kuuliza kama huwa Kuna watoto huzaliwa mapacha umasaini...
Ukweli ni kwamba hata mimi tokeaa kuzaliwa katika jamii yangu sijapata kuona mapacha, neither wa kufanana nor fraternal..
Nimekuwa nilijiuliza Bila kupata sababu. Lkini katika kupevuka kiakili na kuanza kushiriki katika jamii moja kwa moja, nimegundua sababu inayo fanya viumbe hawa kutokuonekana......

Wamasaii ni moja wa jamii ambayo iko conservative sana, wamefungwa na mila na desturi za wazee na wakati mwingine huusianisha na imani za kishirikina kuwa mapacha kuzaliwa ni dalili ya kuchukizwa kwa mizimu kwa jambo fulani hvyo lazima jambo lifanyike kuweza kupooza au kuzuia kabisa hasira za mizimu....

Kwa kawaida ili mizimu iweze kunyamaza ni lazima kafara itolewe ili wapate damu nipo watakapo Achilia msamaha kwa jamii husika

KAFARA HIYO NI NANI???

Kwa swala kama Hili mizimu haiitaji kafara ya ng'ombe ama mbuzi Bali damu ya Mwana damu ndo inahitajika....

Lazima mmja watoto waliozaliwa apelekwe kibla ili kuinusuru jamii

Na swala Hili hufanyika kwa siri sana Bila hata baba wa mtoto kujua, na wakt mwingine hata mama mzazi mwenyewe hujui
Inakuwa ni ishu ya wakunga au msaidizi yoyote muda wa kuji fungua.
Hii ndo sababu kubwa kwanini hatuoni mapacha wa Kimasaiii!!!!!!!

End..
 
Acheni porojo za Kipuuzi. Mapacha wa kimasai wapo, Havard University walikuwepo mapacha kutoka Umasaini, mmoja akisomea Engineering na Mwingine Udaktari. Nakupa wengine, Dr. Eliamani na Dr. Elifuraha Laltaika, Hawa hata kuwatofautisha Ni shida, wapo, Ni WANASHERIA mashuhuri tu na Lecturers katika Taasisi tofauti hapa nchini!
 
hao si ni wachache mkuu waliozaliwa katika familia za wasomi...ila waliozaliwa porini ndo hivo wanachinjwa
 
Alikurupuka kujibu,nimependa ulivyomtuliza,maana alishaleta ujuaji bila hata kujua nini kinazungumzwa..
 
Mleta mada naomba nikupinge kwamba siyo kweli....

Nenda Morogoro, Wilaya ya Kilosa, kijiji cha Msowero, ukifika mwambie Boda boda yeyote yule akupeleke kwamasai anaitwa KINYOZI (huyu ni masai na yupo umasaini kinachofanya ajulikane ni kutokana na kuwadhamini wenye mabucha, yaani yeye anachinja ng'ombe kisha anawapa wamiliki wa bucha za nyama wauze jioni anapitia pesa yake, huyu ni mwaminifuu sana pia kuonekana kujichanganya na wanakijiji ni kitu cha kawaida maana anapenda sana kucheza pool table na anatabia za kwenda na wakati )

Hawa wapo mapacha na inasemekana familia yao ina watoto pacha pea tatu kwa hiyo jumla wapo sita

Kisha urudi hapa ufute huu uzi wako
 
Hao niliowazungumzia mimi post #11 wamezaliwa porini na mpaka keshokutwa maisha yao ni porini, kijijini huja kutembea tu sababu wengi wanamiliki piki piki maana ndo usafiri wao mkubwa

Pia hupigia misele dada zetu ila wao hawataki si tuchukue dada zao mi wananiuzi hawa
hao si ni wachache mkuu waliozaliwa katika familia za wasomi...ila waliozaliwa porini ndo hivo wanachinjwa
 
Habari wakuu

Niko mbele yenu kutoa ufafanuzi kidogo juu ya, maswali ya wengi kuuliza kama huwa Kuna watoto huzaliwa mapacha umasaini...
Ukweli ni kwamba hata mimi tokeaa kuzaliwa katika jamii yangu sijapata kuona mapacha, neither wa kufanana nor fraternal..
Nimekuwa nilijiuliza Bila kupata sababu. Lkini katika kupevuka kiakili na kuanza kushiriki katika jamii moja kwa moja, nimegundua sababu inayo fanya viumbe hawa kutokuonekana......

Wamasaii ni moja wa jamii ambayo iko conservative sana, wamefungwa na mila na desturi za wazee na wakati mwingine huusianisha na imani za kishirikina kuwa mapacha kuzaliwa ni dalili ya kuchukizwa kwa mizimu kwa jambo fulani hvyo lazima jambo lifanyike kuweza kupooza au kuzuia kabisa hasira za mizimu....

Kwa kawaida ili mizimu iweze kunyamaza ni lazima kafara itolewe ili wapate damu nipo watakapo Achilia msamaha kwa jamii husika

KAFARA HIYO NI NANI???

Kwa swala kama Hili mizimu haiitaji kafara ya ng'ombe ama mbuzi Bali damu ya Mwana damu ndo inahitajika....

Lazima mmja watoto waliozaliwa apelekwe kibla ili kuinusuru jamii

Na swala Hili hufanyika kwa siri sana Bila hata baba wa mtoto kujua, na wakt mwingine hata mama mzazi mwenyewe hujui
Inakuwa ni ishu ya wakunga au msaidizi yoyote muda wa kuji fungua.
Hii ndo sababu kubwa kwanini hatuoni mapacha wa Kimasaiii!!!!!!!

End..
Mapacha wa kimasai wapo wengi tu
 
Huo utafiti wako rudi darasani mzee,mimi ni mmasai pure na nmekulia umasaini
Kukuhakikishia pia mke wangu kajifungua mapacha miezi kazaa iliyopita

Note;wamasai hatuna kafara ya damu ya binadamu katika kabila la kimasai kumwaga damu ya binadamu tunaita ENYAMU
Inaaminika kwamba ukimwaga damu ya mwenzanzako hutakaa ufanikiwe maisha yako yote na kama ikitokea bahati mbaya lazima ulipe kwa kumchinjia mbuzi ama kondoo kama umemjeruhi na ikitokea umeua lazima ulipe ng'ombe zaidi ya hamsini au kondoo inategemea na jinsia
Wamasai tunatoa kafara za wanyama kwa mizimu na sii kafara ya mwana
Unaharibu makabila ya watu kama hujui kitu u better keek quite
 
Wapo mapacha wengi sana wa kimasai. Nimewaona Mimi kwa macho yangu tena wanafanana sana ni vigumu kuwatofautisha. Hata kwetu wapo
 
Sitapokea utetezi wa mmasai anayeijua jf, wala anayecheza pool table au anayemiliki boda boda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom