Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
No! Nipo above 23, hapa nina 26 mkuu naenda 27 sasa. Kwani vpi?Gagurito unamiaka 23 au nini?
No! Nipo above 23, hapa nina 26 mkuu naenda 27 sasa. Kwani vpi?Gagurito unamiaka 23 au nini?
Huyo bwana sio mwaminifu kabisa, ana matatizo sana japo mwenyewe hataki kuyakubali na anajiita muungwana! Huyo bwana angetueleza mambo anayowafanyia wapenz wake ingekua vyepesi kwetu kumshauri tokana na mapungufu yake!Unajuaje kama unaachwa kwa kutokuaminika? Kama wewe ni mwaminifu y hauaminiki? Unless you give out signs za kutokuwa mwaminifu ndio mtu atadoubt uaminifu wako.
Mkuu tueleze mambo unayowafanyiaga mpaka washindwe kukuamini!Thanx sana kwa ushauri wenu,nimeupokea kwa mikono miwili,nawaahidi mapenzi siwez kuyaacha kwa vile ndo age yenyewe kuelekea kwnye ndoa(i need to have enough experience huko b4 cjaingia kwnye ndoa,)kimsingi nimeshajua cha kufanya sasa,thanx wadau!
Ndugu zangu wanaJF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 sasa,ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini,
huwa wanadai eti me naonekana mjanja mjanja machoni etiMkuu tueleze mambo unayowafanyiaga mpaka washindwe kukuamini!
hakyamungu nimetulia,sema cjui ni nuksi,hta sielewiKwa nini usiaminike? utakuwa bado hujatulia tu
ninachoelewa mimi,siku moja nishawah kutongozwa live mbele ya mpnz wangu tukiwa kwenye daladala bila mdada yule kujua aliyeko pembeni ni mpnz wangu,ishu ambayo baadae ilinisababishia kutokuaminika make mpnz wangu alidai kama hali ile inatokea tukiwa wote,je asipokuwepo inatokea mara ngapi??Huyo bwana sio mwaminifu kabisa, ana matatizo sana japo mwenyewe hataki kuyakubali na anajiita muungwana! Huyo bwana angetueleza mambo anayowafanyia wapenz wake ingekua vyepesi kwetu kumshauri tokana na mapungufu yake!
Maipenzi huwezi yatofautisha na Maisha, hv vitu viwili pamoja na vingine vingi vyaendana! Unaweza ukawini maisha (mali) ukafeli ktk mapenz, ukaharibu vyote, na imeonekana kuwa wengi wanaofeli ktk mapenzi hupoteza maisha pia, wengine hugeuka kuwa machizi. Hebu mshauri mwenzio, sote tu vijana then kwa namna moja ama nyingine tuna challenges tunazoface ktk maisha, huyu challenge yake ipo ktk mapenzi, wewe challenge yako ipo ktk mali, ukiomba ushauri tutakuelekeza pia!
Thanx kwa kuupenda, tupo pamoja jamvini mkuu Babu!Ahsante sana Mkuu nimeupenda mchango wako. Ubarikiwe sana.
Ulikosea sana mkuu, kifupi ni kama vile ulimwonyesha zarau, wanawake hawayapendi hayo, hupendwa kudanganywa i mean angeyasikia kwa watu wa pembeni kumshawishi ingekua jambo dogo, bt kwa kushuhudia mwenyewe inakua ni ngumu sana! Mkuu jirekebishe!ninachoelewa mimi,siku moja nishawah kutongozwa live mbele ya mpnz wangu tukiwa kwenye daladala bila mdada yule kujua aliyeko pembeni ni mpnz wangu,ishu ambayo baadae ilinisababishia kutokuaminika make mpnz wangu alidai kama hali ile inatokea tukiwa wote,je asipokuwepo inatokea mara ngapi??
Hahahahahaaa!huwa wanadai eti me naonekana mjanja mjanja machoni eti
hujanielewa kaka,yaani huyo mdada ndo alianza kunielezea hisia zake kwangu bila kujua nipo na beibe wanguUlikosea sana mkuu, kifupi ni kama vile ulimwonyesha zarau, wanawake hawayapendi hayo, hupendwa kudanganywa i mean angeyasikia kwa watu wa pembeni kumshawishi ingekua jambo dogo, bt kwa kushuhudia mwenyewe inakua ni ngumu sana! Mkuu jirekebishe!
Duh! wewe na jakaya damu damu!hujanielewa kaka,yaani huyo mdada ndo alianza kunielezea hisia zake kwangu bila kujua nipo na beibe wangu
duh,bora ungenifananisha na shetani kuliko huyo jamaaDuh! wewe na jakaya damu damu!
hahaha! Gagurito! Wakaka thku hidh wantongodhwaa! Lolest!Duh! wewe na jakaya damu damu!