Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Wtf ni acronym ya nini?
Wameitafsiri hapa JF, lakini kwa mujibu wa Airtel hiyo inasimama badala ya WhatsApp, Twitter na Facebook.
Duh aisee sawa asante nadhani ungeiweka wazi ndani ya bandiko lako, wengine tuko far na tv/radio za tz mkuu. TIA (thanks in advance)
mkuu Mchumia Rungu hebu niambie how effective hii kitu tethering ipo!!inafanyaje kazi shule kiduch kiongozi
nikiangalia hapa simu yangu naona hivi:Mkuu inategemea ni simu gani unaitumia lakini sasa hivi simu nyingi zina mfumo huo. Badala ya kutumia modem unaweka simu yako katika mfumo huo wa tethering kisha unaunga na computer yako kama wireless. Wakati unaendelea kutumia internet kwenye computer yako, simu yako itafanya kazi kama kawaida bila kuathiri chochote katika kazi zako za computer. Kimsingi ni huduma nzuri na sasa hivi wengi wanaitumia na wamesahau modem.
nikiangalia hapa simu yangu naona hivi:
USB tethering
PORTABLE WI-FI HOTSPOT
SET UP WI-FI HOTSPOT
HELP
je katika hizo nina anzia wapi hii kitu yangu ni xperia E
Ni kweli kabisa..!! kuna wizi unaendelea hapa..!!
mkuu nashukuru nimefanikiwa kwa karibu asilimia 96!laptop inaconnect vizuri kwenye wi-fi ya simu na network strength inaonekana ni excellent ila nikifungua kitu inagoma kwenye internet hakifungui!je kuna kitu naweza kufanya zaidi?Mkuu nafikiri anzia hapo kwenye "SET UP WI-FI HOTSPOT"
mkuu nashukuru nimefanikiwa kwa karibu asilimia 96!laptop inaconnect vizuri kwenye wi-fi ya simu na network strength inaonekana ni excellent ila nikifungua kitu inagoma kwenye internet hakifungui!je kuna kitu naweza kufanya zaidi?
Bure ni ghali.. Usitegemee kitu cha bure kuwa Effective na Effeciency...
Pole sana..
Utahamia mtandao gani wakati yote ina matatizo yanayofanana?Hakika wizi upo. Kama mpaka Jumatatu sitapata ufumbuzi, kazi yangu ya kwanza ni kufika katika ofisi zao na kama hakitaeleweka basi siku hiyo ndiyo itakuwa siku yangu ya mwisho kutumia mtao huo. Na baada ya hapo kazi yangu itakuwa kuhamasisha (kuwakomboa) watu waachane na mtandao huo.