Sijasoma Namba kwa sababu hizi

Sijasoma Namba kwa sababu hizi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,026
Reaction score
46,319
Mi nawashangaa wanaolia ukata wa hela wanaolia maisha magumu, wanaolia lia kuhusu kukosa ajira na mambo mengine mi ntawakosoa kwa haya,

1. UKATA WA HELA
jaman pigen kazi ,unataka hela ije wakati hufanyi kazi itatoka wapi,? Vijana ardhi Yetu INA rutuba , pia kuna fursa nyingi dunian siyo mpaka rais au serikali ikushike mkono na kukuonesha fursa zilipo,

2. AJIRA
Mtu kahitimu Chuo kikuu au vyuo vya kawaida yupo kwa baba yake na mama yake anasubiri ajira, wakati hao mama zake na baba hawakuwahi kuajiriwa popote na maisha wameyaweza mpaka kumsomesha huyo kijana , ila yeye kakaa tu anasubiri ajira uo si ustaarabu lazima utasoma Namba kwa namna hii tena za kirumi,

Sikuwahi zunguka zunguka na bahasha kisa ajira , kwasababu nilikuwa na maono kabla sijamaliza chuo enzi hizo nshaset mipango, pia hata walipo tangaza kazi nikiweka mguu naitwa kulingana na passmark zangu, SASA KWANINI NISOME NAMBA?

3. ELIMU
Mama ndalichako hebu kaza kaza kaza hatutaki watu wanaopata elimu dhaifu na kuanza kutamba mtaani wakati hawajui kuitumia , degree dhaifuuu yaan alafu anasema hawezi Fanya kazi za chini kisa degree ya STEMUCO? TEKU? JOKUKO? KIUKO?

Hapa lazima tujisahihishe, tuliteleza na sasa mama huyu anajaribu kurudisha heshima ya elimu lakin makanjanja wanalalamika,
Mbona sisi tulipita kwenye vigezo hivyo vigumu vigumu,? Na tukazisoma degree kwa ufasaha na entry qualification bila division one huendi Chuo kikuu direct, sasa hawa wamerudia mitihan mpaka baas wameunga unga mpaka basi, alafu unataka mteremko?? Soma za kigiriki sasa namba

4.BIASHARA
sijawahi kukwepa kodi na nimesimama imara hata kabla ya magufuli kuwa rais hivyo anachofanya ni Muhim, ngoja watu wajue kuwa lazima utaratibu ufuatwe, Sasa nina kibali, nalipa kodi ninafuata taratibu zote, ntasomaje Namba?

5. UHURU WA HABARI NA KUJIELEZA
huwa nafuata mafundisho na taratibu kureport na kuhabarisha masual mbalimbali, istoshe sina utapiamlo unaosababisha kuota ndoto kama za lema, sasa hapo ntasomaje Namba?

6. NINATEGEMEA NGUVU ZANGU KUJIKWAMUA sitegemei serikali au yeyote hivyo dhana hii imenifanya nijione sawa kila muda hata aje rais gani, aweke mazingira yapi sitasoma Namba, maana ninafuata utaratibu,

Vijana faulu vizuri, jitume, kuwa mbunifu,fuata sheria ,unone kama utasoma Namba,
 
Mi nawashangaa wanaolia ukata wa hela wanaolia maisha magumu, wanaolia lia kuhusu kukosa ajira na mambo mengine mi ntawakosoa kwa haya,
1. UKATA WA HELA
jaman pigen kazi ,unataka hela ije wakati hufanyi kazi itatoka wapi,? Vijana ardhi Yetu INA rutuba , pia kuna fursa nyingi dunian siyo mpaka rais au serikali ikushike mkono na kukuonesha fursa zilipo,
2. AJIRA
Mtu kahitimu Chuo kikuu au vyuo vya kawaida yupo kwa baba yake na mama yake anasubiri ajira, wakati hao mama zake na baba hawakuwahi kuajiriwa popote na maisha wameyaweza mpaka kumsomesha huyo kijana , ila yeye kakaa tu anasubiri ajira uo si ustaarabu lazima utasoma Namba kwa namna hii tena za kirumi,
Sikuwahi zunguka zunguka na bahasha kisa ajira , kwasababu nilikuwa na maono kabla sijamaliza chuo enzi hizo nshaset mipango, pia hata walipo tangaza kazi nikiweka mguu naitwa kulingana na passmark zangu, SASA KWANINI NISOME NAMBA?

3. ELIMU
Mama ndalichako hebu kaza kaza kaza hatutaki watu wanaopata elimu dhaifu na kuanza kutamba mtaani wakati hawajui kuitumia , degree dhaifuuu yaan alafu anasema hawezi Fanya kazi za chini kisa degree ya STEMUCO? TEKU? JOKUKO? KIUKO? hapa lazima tujisahihishe, tuliteleza na sasa mama huyu anajaribu kurudisha heshima ya elimu lakin makanjanja wanalalamika,
Mbona sisi tulipita kwenye vigezo hivyo vigumu vigumu,? Na tukazisoma degree kwa ufasaha na entry qualification bila division one huendi Chuo kikuu direct, sasa hawa wamerudia mitihan mpaka baas wameunga unga mpaka basi, alafu unataka mteremko?? Soma za kigiriki sasa namba

4.BIASHARA
sijawahi kukwepa kodi na sikutegemea hela za magumashi nilisimama imara hata kabla ya magufuli kuwa rais hivyo anachofanya ni Muhim, ngoja watu wajue kuwa lazima utaratibu ufuatwe, Sasa nina kibali, nalipa kodi ninafuata taratibu zote, ntasomaje Namba?

UKO POWAA SANAA NDALICHAKO AKAZEEE ILI VIJANA WAPIGE SHULEE
 
1480280269163.jpg
 
Acha sifa Mungu anakuona.
 
unatunga,kitabu ch story z uong.unaelezaje vitu kam greatthinker bila kucompare au kulinganisha maish y sasa na zaman?
 
Halafu huyo naye anajiita msomi!! Maajabu makubwa ndio maana Tanzania watu wenye mafanikio ni watu wenye elimu za kawaida maana hawana muda wa kuigiza maisha.

Wakati huyu anaigiza maisha Wakinga walioishia darasa la saba muda huu wapo bandarini wanatowa kontena zao ziingie sokoni.
 
Halafu huyo naye anajiita msomi!! Maajabu makubwa ndio maana Tanzania watu wenye mafanikio ni watu wenye elimu za kawaida maana hawana muda wa kuigiza maisha.

Wakati pimbi kama huyu anaigiza maisha Wakinga walioishia darasa la saba muda huu wapo bandarini wanatowa kontena zao ziingie sokoni.
Haha angalia mkuu post hii ni ya lini? Someni Namba someni namba
 
Halafu huyo naye anajiita msomi!! Maajabu makubwa ndio maana Tanzania watu wenye mafanikio ni watu wenye elimu za kawaida maana hawana muda wa kuigiza maisha.

Wakati pimbi kama huyu anaigiza maisha Wakinga walioishia darasa la saba muda huu wapo bandarini wanatowa kontena zao ziingie sokoni.
Pinga kwa hoja sio kwa matusi. Wewe eleza unaisoma nmba kwa namna gani? Mi naona kama kinyume chake. Nakumbuka miaka ya nyuma wizara ya ardhi unafika pale uanbabaika babaika , ukiuliza nenda chumbva na. fulani ukifika kuna maofisa wanne hujui hata yupi ndio umuulize. Jamani two months ago nimeenda wizara ya ardhi DSM. Nimefika daha unabofya mashine unachukua namba yako , unaitwa na kwenda kwa afisa makhsusi. Tatizo la mwezi lilitatuliwa kwa siku mbili tu! Jamani yaani huduma zimeboreka.
 
Umeonaa eee ukifuata utaratibu huwez soma namba
 
Hujasoma namba ila stress zinakusumbuwa na JF inaonekana ndio inakusaidia usifikirie hata kujinyonga.

A busy Man hawezi kuwa kwenye mitandao saa hizi kuandika ushuzi.
Siku hizi kuna kamsemo wa UKITAKA KUJIUA TUNAKUOKOA ILI TUISOME NAMBA WOTE PAMOJA, tutamuokoa akitaka kujinyonga, ili wakati wake ukifika aisome namba pamoja[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Haha
 
Hata umaskini wa Tanzania mlishasema hamuelewi unatokana na nini hasa, wakati mmetawala kwa zaidi ya miaka 50. Hatushangai..... akili zenu ni zile zile wote mnalingana.
 
Back
Top Bottom