Sijapenda Kikwete kupiga picha na Al Bashir wa Sudan kwa furaha wakati Bashir anawaua weusi Darfur!

kikwete%252Bgaddafi.jpg
 
BOSS mie sio muarabu, mie mweusi tii kama wale wa sudan wanaouawa Darfur. hivyo nina machungu na hasira na huyu bashir, na ndio maana sikupenda kumuona rais wa tanzania anapiga picha wanachekelea. hebu jiulize kuna jipi la kumfurahisha au kitendo cha kuua weusi??? wala sio dini kwa sababu wale wa darfur ni waislamu wenzake
Kwaiyo wakiuwawa weupe ni sawa tu!?hivi kikwete hakuwahi kupiga picha na Bush?mbona hamkuleta ujinga wenu hapa?nyie ndo wazungu wakawapeni vyandarua mkawapa tanzanite!
 
Hata mimi sijapenda Albashir kupiga picha na JK kwakuwa JK anawatesa na kuwauwa Watanzania wasio na hatia kila kukicha.
Kama huamini tembelea mahospitalini.
duh lakini ushawahi kuona movie ya DARFUR ? mauaji yanavyofanyika.........wanawake wanavyobakwa tena unakuta mwanamke anabakwa na wanaume wengi.........watoto wachanga wanavyouliwa...........acha tu hiyo movie lazima ulie.
 
Huyu Jamaa akinijua tu nipo wapi lazima atanitafuta aje apige picha na mimi.
 
Kila mtu anajua kuwa albasir ni janjaweed na anatafutwa kwa kosa la kuua weusi kule Darfull Sudan, Kwa wenzangu msiojua naomba msome hapa chini samahani nina copi na kupesti
The international criminal court has charged Sudan's president, Omar al-Bashir, with three counts of genocide in Darfur, a move that will pile further diplomatic pressure on his isolated regime.

He is accused of trying to wipe out three non-Arab ethnic groups in the region, where more than 200,000 people have died since 2003.

The arrest warrant said there were "reasonable grounds to believe" Sudanese forces attempted genocide against the Darfur tribal groups Fur, Masalit and Zaghawa.

The ICC prosecutor, Luis Moreno-Ocampo, accuses Bashir of keeping 2.5 million refugees in Darfur in camps "under genocide conditions, like a gigantic Auschwitz".

Last year the court charged Bashir with war crimes over the conflict in Darfur, making him the first sitting head of state issued with an arrest warrant by the ICC.

Judges then dismissed the prosecution's most contentious charge of genocide.

Four months ago an appeals panel ruled that judges made an "error in law" when they refused to indict Bashir on international law's gravest charge.

Prosecutors then filed their case again and on today judges issued an arrest warrant charging Bashir with three counts of genocide.

AU KIKWETE NAYE NI MUARABU?????

Kwani muujai akipiga picha na muuaji mwenzio kuna tatizo gani?? Au nyie muuaji ni yule anayetumia bunduki tu???
 
Back
Top Bottom