Sijapenda Kikwete kupiga picha na Al Bashir wa Sudan kwa furaha wakati Bashir anawaua weusi Darfur! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijapenda Kikwete kupiga picha na Al Bashir wa Sudan kwa furaha wakati Bashir anawaua weusi Darfur!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jul 17, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kila mtu anajua kuwa albasir ni janjaweed na anatafutwa kwa kosa la kuua weusi kule Darfull Sudan, Kwa wenzangu msiojua naomba msome hapa chini samahani nina copi na kupesti
  The international criminal court has charged Sudan's president, Omar al-Bashir, with three counts of genocide in Darfur, a move that will pile further diplomatic pressure on his isolated regime.

  He is accused of trying to wipe out three non-Arab ethnic groups in the region, where more than 200,000 people have died since 2003.

  The arrest warrant said there were "reasonable grounds to believe" Sudanese forces attempted genocide against the Darfur tribal groups Fur, Masalit and Zaghawa.

  The ICC prosecutor, Luis Moreno-Ocampo, accuses Bashir of keeping 2.5 million refugees in Darfur in camps "under genocide conditions, like a gigantic Auschwitz".

  Last year the court charged Bashir with war crimes over the conflict in Darfur, making him the first sitting head of state issued with an arrest warrant by the ICC.

  Judges then dismissed the prosecution's most contentious charge of genocide.

  Four months ago an appeals panel ruled that judges made an "error in law" when they refused to indict Bashir on international law's gravest charge.

  Prosecutors then filed their case again and on today judges issued an arrest warrant charging Bashir with three counts of genocide.

  AU KIKWETE NAYE NI MUARABU?????
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hata mimi sijapenda Albashir kupiga picha na JK kwakuwa JK anawatesa na kuwauwa Watanzania wasio na hatia kila kukicha.
  Kama huamini tembelea mahospitalini.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa anapenda picha sana ata akipata nafasi ya kupiga picha na simba atapiga!
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kwa utawala huu wa CCM sishangai kabisa licha ya Tanzania kuwa na majeshi huko Darfur kutokana na makosa ya Al Bashir.
   
 5. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kale kamfumo wanasema ni kama mwili mmoja. Osama=Idd Amini=Gaddafi=Al Assad=Topical=Zomba=JK nk nk
  Hapo jamaa yupo na ndugu yake, wewe kafiri hata kama ni Mtanzania atakuona kafiri tu na wala siyo ndugu yake.
   
 6. M

  Moony JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  picha yengewe iko wapi???
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Nenda kaziangalie kwenye album ya kikwete huko ikulu
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  They are united by one thing, which is, Islamic religion.
   
 10. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kafir sio tusi ina maana 'asie muislam or asie muamin muhammas s.a.w sasa wewe unataka akuoneje muslim? Kama vipi nanyi tafuteni jina kwa asie kafir ili kuondoa manung'uniko,Mbona hukuleta lawama zako alipokutana na Bush na kupiga nae picha muuaji au kwakuwa ni KAFIR mwenzio?
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  wewe albam ya jk tena ipo nyumbani kwake inakuhusu nini!?
   
 12. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kuna vitu vya kuongea ati ndo swali la kuongelea kupiga picha kikwete na bashir icc ndio nini ile ipo kwa maslahi ya nchi za magharib kwanza AU haitambui hati ya kukamatwa kwake hivi bush kauwa wangapi kule iraq na ghafuanstani acheni siasa za kijinga fanyeni mambo ya mcngi
   
 13. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  BOSS mie sio muarabu, mie mweusi tii kama wale wa sudan wanaouawa Darfur. hivyo nina machungu na hasira na huyu bashir, na ndio maana sikupenda kumuona rais wa tanzania anapiga picha wanachekelea. hebu jiulize kuna jipi la kumfurahisha au kitendo cha kuua weusi??? wala sio dini kwa sababu wale wa darfur ni waislamu wenzake
   
 14. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo unataka apige picha na BUSH,OBAMA,CLINTON,CAMEROON.....Mbona wenyewe ndo wanaongoza kuua watu duniani kote? Acha chuki zako za kishetani...mbona wakina Nyetanyahu wanawaua waPalestina na bado upo kimya
   
 15. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 16. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  ​Kwani wana tofauti gani? Wote hao si kundi moja tu!
   
 17. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hii picha imenikera sana
   
 18. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Narudia tena, mimi sio muarabu, mimi mwesi kama mkaa. hao wapalestina hawanihusu, ni sawa tu na nikiona wanavyouana syria halafu wanasema alah akbar sasa sijui Alah ndio anatuma mtu kuua nduguye kwa jina lake? angalia tv myanayojiri syria utawasikia wanapiga marisasi halafu wakimaliza wana sema alah akbar!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Vipi picha ya Kikwete na bush au Kikwete na Kagame?
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwani bush au kagame wanatafutwa?
   
Loading...